Tofauti ya kesi ya Mbowe na Sabaya

Usijenge mahaba na majambazi.

Sabaya, yeye mwenye alikiri kosa, lakini akasema kuwa alikuwa ametumwa na Magufuli. Wewe ni nani hata useme kuwa eti alionewa?

Hivi hata hayo mambo ya kubaka, alikuwa anatumwa na Magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…