Nimeanzisha hii thread baada yakuona ipo haja kuwa alert leader kuwamakini pindi wanaongea na viongoz wenzao au wanaongea na jamii.
Kuwa kiongozi sio kuwa na akili au uwezo kuliko wengine hapana kuwa kiongozi ni kudra za mwenyezi Mungu na ndio maana kuongozi anaye lijuwa hili kamwe hawezi kunyanyasa watu au kudharau.
Kumekuwa na tone bungeni na sasa pia inasikika state. Hii tone haionyeshi mamlaka ya anaye itoa ila ina toa ishara ya dharau.
Sorry naomba kurudia hii tone ukiisikiliza vizuri