Ni hatari snNimeanzisha hii thread baada yakuona ipo haja kuwa alert leader kuwamakini pindi wanaongea na viongoz wenzao au wanaongea na jamii.
Kuwa kiongozi sio kuwa na akili au uwezo kuliko wengine hapana kuwa kiongozi ni kudra za mwenyezi Mungu na ndio maana kuongozi anaye lijuwa hili kamwe hawezi kunyanyasa watu au kudharau.
Kumekuwa na tone bungeni na sasa pia inasikika state. Hii tone haionyeshi mamlaka ya anaye itoa ila ina toa ishara ya dharau.
Sorry naomba kurudia hii tone ukiisikiliza vizuri
Hii kauli ya ''hatuna cha kuwafanya'' ni potofu na ndiyo iliyofanya Tanzania iwe kama ilivyo sasa. Wananchi wana cha kuwafanya viongozi wao. Infact wananchi kama wanajitambua na kujua nguvu yao hakuna kiongozi yeyote atakayethubutu kuleta dharau. Nchi ili iendelee, inahitaji kuwa na wananchi wenye uelewa na ujasiri wa kuwafanya chochote viongozi wao, kwa mujibu wa sheria zilizowekwa na wananchi wenyewe.Daah Jamaa wanatudharau mno maana wanajua hatuna cha kuwafanya.
Hata magu alikuwa na zamu yake ya kutudharau....... hihiiiiiiiiDaah Jamaa wanatudharau mno maana wanajua hatuna cha kuwafanya.
Corona ilimlambaMagu ndiye alikuwa na dharau. Alishaondoka.
YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Mfumo wa elimu ni mbovu sn tunafundishwa kuwa waoga badala ya kuwa majasiriHii kauli ya ''hatuna cha kuwafanya'' ni potofu na ndiyo iliyofanya Tanzania iwe kama ilivyo sasa. Wananchi wana cha kuwafanya viongozi wao. Infact wananchi kama wanajitambua na kujua nguvu yao hakuna kiongozi yeyote atakayethubutu kuleta dharau. Nchi ili iendelee, inahitaji kuwa na wananchi wenye uelewa na ujasiri wa kuwafanya chochote viongozi wao, kwa mujibu wa sheria zilizowekwa na wananchi wenyewe.
Kizazi cha kina Mwamwindi kilisha potea ila kama kingekuwa bado kipo dharau hizi za kina Mwigulu na wenzake zisingekuwepo maana baadhi yao ingekuwa RIPMfumo wa elimu ni mbovu sn tunafundishwa kuwa waoga badala ya kuwa majasiri
Hii thread imfikie Mwigulu nchemba...Nimeanzisha hii thread baada yakuona ipo haja kuwa alert leader kuwamakini pindi wanaongea na viongoz wenzao au wanaongea na jamii.
Kuwa kiongozi sio kuwa na akili au uwezo kuliko wengine hapana kuwa kiongozi ni kudra za mwenyezi Mungu na ndio maana kuongozi anaye lijuwa hili kamwe hawezi kunyanyasa watu au kudharau.
Kumekuwa na tone bungeni na sasa pia inasikika state. Hii tone haionyeshi mamlaka ya anaye itoa ila ina toa ishara ya dharau.
Sorry naomba kurudia hii tone ukiisikiliza vizuri
Weka tone tuisikie ndo tuchangie Uzi.Nimeanzisha hii thread baada yakuona ipo haja kuwa alert leader kuwamakini pindi wanaongea na viongoz wenzao au wanaongea na jamii.
Kuwa kiongozi sio kuwa na akili au uwezo kuliko wengine hapana kuwa kiongozi ni kudra za mwenyezi Mungu na ndio maana kuongozi anaye lijuwa hili kamwe hawezi kunyanyasa watu au kudharau.
Kumekuwa na tone bungeni na sasa pia inasikika state. Hii tone haionyeshi mamlaka ya anaye itoa ila ina toa ishara ya dharau.
Sorry naomba kurudia hii tone ukiisikiliza vizuri
Huyu Mimi naomba anyan'ganywe koti.Hii thread imfikie Mwigulu nchemba...