Tofauti ya kugongewa mwanamume mwembamba maskini na mwanamume mnene tajiri

Machame Juu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
1,514
Reaction score
3,363
Kuna uzi flani uliletwa humu jamvin kuhusu wanaume wanene matajiri hawapeleki moto ndo maana wanachapiwa sana.

Mmoja wa members Basi Nenda alipinga vikali na kujigamba eti yeye ni mnene lakini anawagongea sana wanaume wembamba .

Sasa tofauti ni hii. Sisi wanaume wembamba maskini tunawagongea wanaume matajiri wanene bure hatutoi hongo wenyewe wanatoa Free with passion tena hata wenyewe wanatuhonga.

Lakini wanaume wanene ama matajiri kamwe hawawezi kutugongea wake zetu bure lazima wawahonge.

Je nasema uwongo?
 
Kama unakubali kugongewa na una furahi ipo siku utagongwa wewe mwenyewe.
 
Lioneni chizi hili,hivi we jamaa una Malinda?
Ona usivyo na adabu na unavyoonesha wewe ni mjuaji. Na tutazidi kuwazika sana vijana kwa magonjwa ya moyo na sonona vinavyosababishwa na kuwachunguza na kuumia kupita kiasi kwa kusalitiwa na wake zenu, msipobadilika.
 
Naendelea kusisitiza kama unangowa mke wako na unafurahi ipo siku utagongwa wewe mwenyewe. Hii iwe wewe au yeyote yule.
 
😂Mkuu, umeamua kuni mention hapa nitaficha wapi sura yangu
 
Ila maumivu ni yaleyale so kugongewa haijalishi umegongewa na nani ila maumivu haya hepukiki.
 
Naendelea kusisitiza kama unangowa mke wako na unafurahi ipo siku utagongwa wewe mwenyewe. Hii iwe wewe au yeyote yule.
Huwezi kufurahi kama unagongewa mke, ila siyo ku panic. Why panic? Unapo panic unakaribisha magonjwa ya moyo na masonona mwishowe ufe mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…