Tofauti ya limao na ndimu ni ipi?

Mungu fundi
 
Mbona simple sana mkuu..
Mti wa muhigo una utomvu mzito while mti wa kisamvu una utomvu mwepese

Kwa macho mti wa muogo una majani darky sana while mti wa kisamvu una light majani
Thank you for your enlightenment
 
Uongo 😁😁😁😁
 
Dicot na monocot ______limao na ndimu zote ni dicot..

Zote ni acidic in nature hakuna base hapo
Zipo na citric acid😁
Umeingie kichwa kichwa mkuu..
Unajua tofauti kati ya acidic ina nature na acid generaly..

Unajua issue za monocotyledons reformatuon katika class za limao na ndimu au unajua nilichosema pale nilikua sijui dicot na mono mana yake nini
 
ndimu ni ndogo na limao ni kubwa. Kuna jamaa alinunua malimao akaanza kuyala akidhani ni machungwa. Badala aone utamu akaona uchachu na kuhisi huenda ameuziwa machungwa yasiyoiva vema
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…