Tofauti ya limao na ndimu ni ipi?

Umejibu kisupa staaa utafikiri sio wewe wa mbagala kwa mbiku 😂😂 anyway asante botanist 💪
 
Umejipamba kwenye intro
 
Ambayo huwa nafikiria ni malimao mara nyingi tu naona watu wanaita ndimu na zile ambazo huwa nafikiri ni ndimu huwa naona watu wanaita malimao tena! Inakuwa mvurugano sasa😁
Wahaya ndimu ndio limao na limao ndio ndimu.

Lakini limao ukiikamua hutoa juice nyingi kuliko ndimu.
Vile vile katika mapishi ndimu inakoleza kuliko limao.

Lakini kwa utundu wa Asia waweza ukapandikiza mdimu kwa njia ya grafting mti huo huo ukazaa malimao na ndimu.
Lakini nasikia kuna zaidi ya hiyo.
Kibiashara panda zaidi ndimu kwani juice yake concetrate inatumika sana kutengeneza soda,kampuni ya cocola huko nyuma ikivuna juice hiyo kutokea Mttwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…