Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo, kwa kusema hivyo unamaanisha kipimo cha Tundu Lissu ni Magufuli?Ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba Tundu Lisu na Shujaa Magufuli wanafanana katika mambo mengi ikiwemo Ujasiri, Kujiamini, Ubabe, Upendo na One Man Show
Tofauti yao ya Msingi ni Moja tu Kwamba Lisu anapendelea mambo ya kusaidiwa saidiwa hata kwenye kupeleka gari binafsi Gereji lakini Shujaa Magufuli alipenda kujitegemea kwa kila kitu hata Bombardier zilipakwa rangi hapa hapa Nchini
Ili apate kura za kuridhisha 2025 Tundu Lisu aachane na mambo ya kupitisha bakuli
Samahani kwa wale mliokwazika 🐼
Ahsanteni Sana 😂
Mkuu, heshima kwako! Huwezi kukamata Meli za uvuvi na mwisho wake unashitakiwa na kusababisha sintofahamu.Hoja mfu. Kwani uchapakazi wa Magufuli ulianza baada ya kuwa rais? Kupiga kazi na kupiga porojo ni vitu viwili tofauti.
Kama unasubiri lisu awe rais basi utasubiri sana!
Wapi Mkuu, kesi ilikuwa wapi? na Serikali ilipata hasara kiasi gani?lisu alipokea rushwa ya mabeberu kwenye kesi ya makinikia ikamtokea puani
Mkuu Lisu ni level nyingine usithubutu kumfananishi na mtu mwingine.Kwa hiyo, kwa kusema hivyo unamaanisha kipimo cha Tundu Lissu ni Magufuli?
Sasa wewe unaniambia mimi au yule ninayemjibu aliyewalinganisha?Mkuu Lisu ni level nyingine usithubutu kumfananishi na mtu mwingine.
Mkuu, mimi nikikukamata kwa kufanya kosa fulani, nikakupeleka kwa wanaopaswa kukuchukulia hatua, ukawapa cha juu, ukaachiwa na kesi ikaishia hapo; mwenye makosa ni nani? Ni mimi mkamataji, walioachia mwenye makosa aende zake?Mkuu, heshima kwako! Huwezi kukamata Meli za uvuvi na mwisho wake unashitakiwa na kusababisha sintofahamu.
Mkuu nani hao waliopewa cha juu? Ulikamata na vielelezo? Au unataka kutuambia kuwa Mahakama zetu hazitendi haki?Mkuu, mimi nikikukamata kwa kufanya kosa fulani, nikakupeleka kwa wanaopaswa kukuchukulia hatua, ukawapa cha juu, ukaachiwa na kesi ikaishia hapo; mwenye makosa ni nani? Ni mimi mkamataji, walioachia mwenye makosa aende zake?
Kukamata na kuchukua hatua ni mambo mawili tofauti!
Unachosema hapa ni kwamba hakuna wanaopiga cha juu hapa nchini?Mkuu nani hao waliopewa cha juu? Ulikamata na vielelezo? Au unataka kutuambia kuwa Mahakama zetu hazitendi haki?