Tofauti ya Los Angeles, Hollywood na Sodoma na gomora ipo wapi?

Tofauti ya Los Angeles, Hollywood na Sodoma na gomora ipo wapi?

Tafuta kazi ya kufanya mkuu
Hii ndio KAZI yangu,

Nitafute KAZI Gani ingine?

Ndipo humu Ili watu wajue Mungu yupo, na anawapenda waovu, lakini anachukizwa na UOVU ulio ndani Yao,

Amenituma niwaambie watubu na kuacha UOVU Ili awasamehe.

Nimejibu sawa sawa?
 
Huyo Mungu anasahau na Israel , kwa sababu humo karibu robo ya wanaume wanafanya ufuska wa kutisha.
 
Ukimaliza utuambie na tofauti ya Sodoma na Dar na Zanzibar na kwa nini hazijachomwa moto na huyohuyo
 
Back
Top Bottom