Uchaguzi 2020 Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA hakuna

Kodi zetu zinatumika vibaya!Nimeona pia gari za ikulu zimepakwa rangi ya kijani na zinatumika kwenye msafara wa Magufuli!
Kwa ambao hamjaziona,hizi ni zile zenye kioo kidogo katikati nyuma ya kioo cha dereva!Gari hizi ziliachwa na Bush alipotembelea Tanzania na akaziacha kama Zawadi kwa serikali!
 
Tuwaonee huruma chadema walikosea mgombea watanzania wanajua ni kuwadi wa mabeberu
Sasa kusomba watoto na kuwavishwa madera ya watu wazima,ccm imejaa wapumbavu kama wewe na wenzako wengi.
Awamu hii ccm wajinga ndio washauri wa meko....cdm inawapeleka mperampera mpka mmepumzika kilimani
 
sasa kama watu wa ccm ndio wanahudhuria kampeni za ccm..kuna haja gani ya ccm kupiga kampeni?
Si mpaka wakuelewe sasa mkuu,

Kama maprofesa wa chama wameokotwa jalalani, unadhani akina Lusinde wametolewa wapi..
Sidhani kama wanaweza kukuelewa.
 


hii combination imeshindwa kuitoa ccm sasa sjui mnaleta story gan saahav
 
Kuna siku nitakuja nikutukane tu. Hivi huwezi kupost thread bila kuitaja chadema? Kwani chadema ilikupa mimba kisha ikakuambia uitoe?
 
Huu ndio ushahidi mkubwa kuwa wanaohudhuria mikutano ya ccm huwa wameandaliwa jana yake na kuvishwa jezi na kupewa amri wapande malori yaliyoandaliwa bila kukosa.
 
So what??!!
 
Mimi mwenyewe nina CCM jersey lakini sitapigia kura CCM kwani Ni wabaguzi
 
Show bila kiingilia hata Mimi nisiyependa muziki nitakuja kuangalia mauno
 

Hao wanachama wenu wako wangapi nchi nzima wanaoamuwa nani awe Rais wa nchi ni walio wengi ambao hawana vyama na ndiyo walengwa wanachama tayari wana mapenzi na chama wanasikiliza sera ili wafanyeje na ndiyo wanachama wenu. Sera zinauzwa kwa wananchi wasiowanachama ndiyo CDM wanaowatafuta hao
 
Tathimini yako haiko sawa:
1. Kutengeneza sare kunahitaji pesa ambazo cdm haina.

2. Waliovaa sare inawezekana waliletwa kwenye mkutano toka sehemu nyingine kabisa. Hivyo huwezi kusafirisha ambae si mwanachama.
 
Ma-ccm Mungu Anawaona Kutuambia Kuwa Mgombea Wenu Ni Mpole na Msikivu Na Mnyenyekevu. Mmetukosea Sana Sisi WananChi Hasa Wabukoba na Mtwara.

Kwa kweli sisi wananchi tunaojitambua Tumehuzunishwa Sana kwa Slow slow kuudanganya Uuma!! Eti! Meko ni mpole na Msikivu ,kama hizo sifa ni za kweli basi Asingetukashifu sisi WanaNchi Wa BUKOBA Pindi tulipo Patwa na Majanga

Badala yake Meko anatuambia SERIKARI yake haikureta tetemeko.
 
Naomba kujua jumla ama mgawanyo wa wananchi wapiga kura..wanachana n idadi yao na wasio wanachama...
Ukitaka kujua chama chako sio cha wanachama tu ni mbinu ipi itakusaidia kujua kuwa unakubalika na kwa wasio wanachama...
Kisha njoo na hitimisho utuonyeshe kwa vigezo vyako nani anakubalika vizuri kwa idadi ya wapigakura kwa makundi yote
 
Mara nyingi sifa za hivi utolewa kwa marehemu na hauwezi kubishana na mtoa wasifu wa marehemu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…