Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Kodi zetu zinatumika vibaya!Nimeona pia gari za ikulu zimepakwa rangi ya kijani na zinatumika kwenye msafara wa Magufuli!
Kwa ambao hamjaziona,hizi ni zile zenye kioo kidogo katikati nyuma ya kioo cha dereva!Gari hizi ziliachwa na Bush alipotembelea Tanzania na akaziacha kama Zawadi kwa serikali!