Tofauti ya mla tikiti na ugali asubuhi; Diamond na Kiba

Mleta uzi itakuwa amehaidiwa kuonekana kwenye kichupa kijacho ka kiba[emoji817]
not interested with that kind of shit coz kwanza sina mvuto kimuonekano....bt hivyo nlivyoandika ndo nnavyoona mkuu.
 
Ndiio shida ya bongo eti maskini anampa ushauri tajiri....mtoa mada kuliko kuanza kumshauri mond m naona wewe ndio uingie kwenye mziki afu ufanye ka kiba c utaweza....
kuwa flexible kupokea unachoambiwa kaka alokwambia tajiri hashauriwi au hakosolewi nani?...au haambiwi ukweli, watu wanamchana TRUMP big boss na rais wa marekani atakuwa huyo mtoto wa tandale wa kawaida tu boss?
 
Na ndio maana mmoja ana NJAA ya mafanikio,kwani kila mda anakuja na kitu kipya,ila huyu mwengine KALALA kutokana na SHIBE na kuvimbiwa (nimeupenda mfano wako)
mfano huo kaka hauna maana hiyo samahani lakini, hauwagusi waimbaji unawagusa mashabiki wa wasanii hao kwamba wakati wenzio wanapikiwa ugali we wa kwako unawapa matikiti maji na ndo maana kila baada ya muda mfupi unatakiwa uwalishe tena coz unawapa vitu vyepesi....from there sasa angalia kama utaendelea kuupenda huo mfano ama la..ahsante na karibu tena.
 
Ndiio shida ya bongo eti maskini anampa ushauri tajiri....mtoa mada kuliko kuanza kumshauri mond m naona wewe ndio uingie kwenye mziki afu ufanye ka kiba c utaweza....
Halafu diamond ni TAJIRI kwa wanamuziki wenzake tuu huku kitaa hamna kitu boya kama maboya wengine tu kaka....
 
I agree with you. Diamond bhana alikuwa zamani. #Nitarejea#, #kesho#,# nataka kulewa# and many others. Akitafakari!!
 
thanx bro the problem is when u speak the truth bas shiiiiida ....
 
Asee tukae tukijua kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyekula tikiti maji na aliyekula ugali asubuhi,

Aliyekula tikiti maji asubuhi ya saa moja by saa nne tu njaa humuuma tena na huingia tena jikoni kuchukua kipande kingine cha tikiti na ikifika tena saa nane na saa 12 atakula tena na hivyo kumfanya hadi jioni kuwa kala mara nne na huweza kujisifu kwamba anakula sana huyu bwana na watu wakamshangilia kweli kweli kwamba jamaa anabunya hatari

Tofauti na aliyekula ugali muda mmoja na yule wa matikiti huyu anaweza fika hata saa mbili usiku ndo ale tena kwa kuwa ugali ni chakula kizito na hukaa muda mrefu tumboni na humeng'enywa taratibu kwa nidhamu tofauti na tikiti maji..............

Diamond Achana Na Matikiti Maji Nadhani Ni Muda Wa Kudeal Na Ugali Kama Kiba Hii Miziki Myepesi Myepes Ya Wiki Tatu Nne Sasa Basi Tuliza Kichwa Fanya Kazi Za Maana, Huoni Aibu Kiba Ana Ngoma Mpya Ya Seduce Bt Juzi Kawagaragaza Afrimma Na Aje?...
Don't you Asq Ur Selvz Why?....

Ila matikiti maji noo we want diamond yule wa lala salama nitarejea and other shits of that kind..
Mondi ana akili za Music na kweli anakula tikiti maana kazi ya tikiti mwilini ni zaidi ya sembe lako hilo.tikiti ni chakula kinachohitajika na ugali ni chakula kinachopatikana, wala ugali asubuhi huwa wana akili ndogo na hutumia nguvu kubwa badala ya akili kubwa kama wafanyavyo wala matikiti, Kiba hamfikii kwa lolote Mondi jipeni Moyo tu, Hivi upewe nafasi upendekeze jina la msanii mmoja Mtz aiwakilishe nchi ndo umchague Kiba, si utakuwa na matatizo ya akili.
 
hayo matikiti maji ndo yamemfanya mpaka leo hii ana lebo kubwa Tanzania (WCB), ana mijengo ya kutosha, account iliyoshiba, udhamini wa matangazo ya makapuni makubwa na biashara zake bila kusahau show za nchi zingine za africa ambazo huyo kiba hata hajawahi kukanyaga (nazani unayakumbuka yale mapokezi ya diamond alipoenda mozambiq, right?) na show za kila mwezi. (by the way huyu king wenu KIBA vepee hivi haya makampuni huwa hayamuoni au hayamtambui) Tukija kwa huyo mla ugali, anatembelea nyota ya mwenzie, na yeye kajitutumua kununua hisa za kampuni inayomsimamia ili tu na yeye aonekana mkurugenzi, kichekesho mwenzie ni CEO, aunde chake from scratch kama mwenzio tuuone huo u king wake, sijui analipwa sh. ngapi za show zake zile za mombasa na zile za bar anapoenda nchi za nje mana nyumba anayoisha hapo tabata looh salala, kwa mtazamo wangu ni heri kula matikiti ubaki na njaa yako ikupe akili kuliko kulindika miugali mpaka unavimbiwa unabaki kutoa hewa tu. bye
 
Umemalizaaaaaaaaaaaaaaaa waache wafe na viroho mbaya vyao tu kule mkuu
 
Asee tukae tukijua kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyekula tikiti maji na aliyekula ugali asubuhi,

Aliyekula tikiti maji asubuhi ya saa moja by saa nne tu njaa humuuma tena na huingia tena jikoni kuchukua kipande kingine cha tikiti na ikifika tena saa nane na saa 12 atakula tena na hivyo kumfanya hadi jioni kuwa kala mara nne na huweza kujisifu kwamba anakula sana huyu bwana na watu wakamshangilia kweli kweli kwamba jamaa anabunya hatari

Tofauti na aliyekula ugali muda mmoja na yule wa matikiti huyu anaweza fika hata saa mbili usiku ndo ale tena kwa kuwa ugali ni chakula kizito na hukaa muda mrefu tumboni na humeng'enywa taratibu kwa nidhamu tofauti na tikiti maji..............

Diamond Achana Na Matikiti Maji Nadhani Ni Muda Wa Kudeal Na Ugali Kama Kiba Hii Miziki Myepesi Myepes Ya Wiki Tatu Nne Sasa Basi ,,,, Me Cna Ushabiki Wa Muziki ,nataka Nikuulize Et Hyo Avatar Unamjua Huyo Mdingi ,,
 
Back
Top Bottom