hayo matikiti maji ndo yamemfanya mpaka leo hii ana lebo kubwa Tanzania (WCB), ana mijengo ya kutosha, account iliyoshiba, udhamini wa matangazo ya makapuni makubwa na biashara zake bila kusahau show za nchi zingine za africa ambazo huyo kiba hata hajawahi kukanyaga (nazani unayakumbuka yale mapokezi ya diamond alipoenda mozambiq, right?) na show za kila mwezi. (by the way huyu king wenu KIBA vepee hivi haya makampuni huwa hayamuoni au hayamtambui) Tukija kwa huyo mla ugali, anatembelea nyota ya mwenzie, na yeye kajitutumua kununua hisa za kampuni inayomsimamia ili tu na yeye aonekana mkurugenzi, kichekesho mwenzie ni CEO, aunde chake from scratch kama mwenzio tuuone huo u king wake, sijui analipwa sh. ngapi za show zake zile za mombasa na zile za bar anapoenda nchi za nje mana nyumba anayoisha hapo tabata looh salala, kwa mtazamo wangu ni heri kula matikiti ubaki na njaa yako ikupe akili kuliko kulindika miugali mpaka unavimbiwa unabaki kutoa hewa tu. bye