Ricky Blair JF-Expert Member Joined Mar 13, 2023 Posts 463 Reaction score 1,009 Dec 9, 2023 #1 Tofauti ya Mwizi na Tapeli ni nini?
Panctuality JF-Expert Member Joined Jun 11, 2019 Posts 775 Reaction score 1,150 Dec 9, 2023 #2 Mwizi anachukua mali zako pasipo ruhusa yako kwa kificho,na tapeli huchukua mali yako au kwa kumpa wewe mwenyewe kwa kutumia lugha tu kisha baadaye mhusika ndio hushtuka kuwa kapigwa
Mwizi anachukua mali zako pasipo ruhusa yako kwa kificho,na tapeli huchukua mali yako au kwa kumpa wewe mwenyewe kwa kutumia lugha tu kisha baadaye mhusika ndio hushtuka kuwa kapigwa
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Dec 9, 2023 #3 Tofauti ya mwizi na tapeli Mwizi ina silabi mbili...yaani mwi-zi Tapeli ina silabi tatu....yaani ta-pe-li
Tofauti ya mwizi na tapeli Mwizi ina silabi mbili...yaani mwi-zi Tapeli ina silabi tatu....yaani ta-pe-li
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Dec 9, 2023 #4 Wote ni wezi, ila Mmoja anatumia ushawishi mwengine hatumii ushawishi kukuibia. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Wote ni wezi, ila Mmoja anatumia ushawishi mwengine hatumii ushawishi kukuibia. KaziKweliKweli/JobTrueTrue