Tofauti ya mwizi na tapeli

Tofauti ya mwizi na tapeli

Mwizi anachukua mali zako pasipo ruhusa yako kwa kificho,na tapeli huchukua mali yako au kwa kumpa wewe mwenyewe kwa kutumia lugha tu kisha baadaye mhusika ndio hushtuka kuwa kapigwa
 
Wote ni wezi, ila Mmoja anatumia ushawishi mwengine hatumii ushawishi kukuibia.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom