Mwenye experience ya Kusafiri na Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi Kenya, Naona utofauti wa Nauli kati ya TWIGA BASIC na TWIGA BUSINESS ni MKUBWA SANA. Naomba Kujua kuna nini katika TWIGA BUSINESS ambacho hakipatikani katika TWIGA BASIC?