Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Mzima lakini?
sahihi ni kwa bodaboda, daladala unachelewa na mwezio ashakula vumbi la mkongoo!!!
Haya je hiiMie naona yote sawa tu
'Kwa' inaonesha unatumia nini kuja
Nipo njiani kwa gari nakuja
Nipo njiani kwa miguu nakuja
'Kwenye' inaonesha mahali ulipo
Niko njiani kwenye gari nakuja