Tofauti ya neno "kwa" na "kwenye"

Tofauti ya neno "kwa" na "kwenye"

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
Mimi natatizika sana na haya maneno au labda yote hapo sawa..bila MTU akitamka au nkilisoma katika ujumbe
Mfano utasikia "nipo njiani kwa gari nakuja"
Mimi kwa upande wangu hilo sio sawa!.
Ilitakiwa iwe "nipo njiani kwenye gari nakuja"
Kipi ni sahihi wadau?
 
Mie naona yote sawa tu

'Kwa' inaonesha unatumia nini kuja
Nipo njiani kwa gari nakuja
Nipo njiani kwa miguu nakuja

'Kwenye' inaonesha mahali ulipo
Niko njiani kwenye gari nakuja
 
Mie naona yote sawa tu

'Kwa' inaonesha unatumia nini kuja
Nipo njiani kwa gari nakuja
Nipo njiani kwa miguu nakuja

'Kwenye' inaonesha mahali ulipo
Niko njiani kwenye gari nakuja
Haya je hii
"Matunda yapo kwa friji"
 
Back
Top Bottom