Tofauti ya pango la ardhi na kodi ya nyumba

Tofauti ya pango la ardhi na kodi ya nyumba

Annie X6

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
704
Reaction score
1,331
Katika matangazo yanayotolewa Kuna Kodi zinatajwa Kwa wadaiwa sugu.

Ile inayokatwa kwenye umeme na inayodaiwa ikalipwe wizara ya ardhi zinatofaiti ipi.

Wananchi sijamuona hata mmj anayekwenda kulipa hizi Kodi.

Msaada wa utambuzi
 
1.Pango la Ardhi.
Jina lake lingine ni Kodi ya Pango la Ardhi au kwa kifupi ni KODI YA ARDHI (Land Rent).
Kodi hii hutozwa na Serikali kwa Wamiliki wa Ardhi, bila kujali ardhi hiyo aidha iwe imeendelezwa au hiajaendelezwa.
Pia, hutozwa na Wamiliki binafsi wa Ardhi kwa Walangaji wao.
2. Kodi ya Nyumba.
Jina lingine ni KODI YA MAJENGO
(Property Tax or Rates), kodi hii hutozwa na Serikali kwa Wamiliki wote wa Makengo au Majenzi (Unexhausted Improvements). Kodi hii haitozwi kwa ardhi tupu isiyokuwa na majengo.
Aidha, Kodi ya Nyumba pia hutozwa na Wamiliki binafsi wa Nyumba/Majengo au Chumba kwa Wapangaji wao (tenants).
Kwa maelezo haya mafupi kabisa nafikiri umepata mwanga kidogo.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Katika matangazo yanayotolewa Kuna Kodi zinatajwa Kwa wadaiwa sugu.

Ile inayokatwa kwenye umeme na inayodaiwa ikalipwe wizara ya ardhi zinatofaiti ipi.

Wananchi sijamuona hata mmj anayekwenda kulipa hizi Kodi.

Msaada wa utambuzi
PANGO la Ardhi ni Kodi inayotozwa na Serikali Land rent kila mwaka kulingana na ukubwa wa kiwanja na matumizi yake
Kodi ya Nyumba ni kodi inayotozwa na Mmiliki wa hiyo nyumba kwa aliyempangisha

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom