Tofauti ya Qatar na Taifa Stars ni majina tu uwezo wa mpira ni zero

Watu wasahaulifu sana, Brazil alikula saba sembuse hawa kula mbili?
 
Wew Qatar wamekuzid kimpila mbali sana kwanin tunapenda Kulinganisha kile tunachokiona kwenye ligi zetu za vumbi na kile kinachofanyika Kwa wezetu tukaona ni sawa na chetu litimu lenu la taifa huwalinafungwa had na Burundi,Malawi,juzi tu limeponea chupu chupu lifungwe na Somalia afu unakuja kujilinganisha na Qatar acheni dharau tumeshindwa kushiriki kweny michuano ya Africon yenye timu 24 tutaweza kwenda wap
 
Mlungula mkubwa ulitumika.
 
Qatar ni timu nzuri kuliko Taifa stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…