Tofauti ya Shemeji na Shemdarlin

Tofauti ya Shemeji na Shemdarlin

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,549
Kwa wahenga waliozaliwa zama za mawe mpaka mwishoni mwa miaka ya 90 Mke wa kaka yako, rafiki yako ndugu walikua wakiitwa shemeji, Pia Mume wa Dada yako,rafiki au ndugu walikua wakiitwa shemeji

Lakini ghafla kibao kimebadilika hiki kizazi cha Miaka ya 2000 kuja 2020's kimekuja na utambulisho mpya, ambapo sasa kuna msamiati unaitwa "Shemdarlin"

sasa tupate tofauti ya shemdarlin na shemeji
 
Shemu Ni kama hujazoeana na shemeji yako..

Shemdarling anaweza kukufuta maji na taulo ukitoka kuoga,
Au ukivaa bukta mkujege ukicheza cheza atakuambia shemdarling unamkujejeeeeeeeeeeeeee
Na zaidi mnaweza kulala pamoja muhusika akisepa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umezaliwa mwaka gani weye?? Miaka ilee ya 70 kuna mwimbaji mmoja kutokea kule Mologolo mji kasolo bahali alitoka na kibao moya inasema; Shemeji, shemeji huku mwazima taa??? Wadhani nnini maana yake??
 
Mke wa kaka/mdogo wako au mume wa dada/mdogo wako huwezi kumuita shemdarling. Ukiona mmeanza kuitana ivo na hao wahusika hapo juu ujue mnaenda kuvunja undugu very soon.

Shemdarling mnaweza kuitana na gf/bf wa rafiki yako na ukiona ivo jua mnaweza kulana muda wowote.
Unforgetable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wahenga waliozaliwa zama za mawe mpaka mwishoni mwa miaka ya 90 Mke wa kaka yako, rafiki yako ndugu walikua wakiitwa shemeji, Pia Mume wa Dada yako,rafiki au ndugu walikua wakiitwa shemeji

Lakini ghafla kibao kimebadilika hiki kizazi cha Miaka ya 2000 kuja 2020's kimekuja na utambulisho mpya, ambapo sasa kuna msamiati unaitwa "Shemdarlin"

sasa tupate tofauti ya shemdarlin na shemeji

Mie sio kizazi cha 2000 lakini natumiaga shemdarling 😂😂😂
 
Shemdarling wanajuaga kujali kuliko darling!
 
..binafsi yangu ninaowaita shemdarling/shemhoney ni wale ambao nafahamu fika ni watu muhimu sana kama jamaa ndugu zaidi ya marafiki, hilo la kupeana hapana kwa upande wangu. Nadhani kuongezeka neno darling ni kuonyesha upendo tu na ukaribu.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom