Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Kwa wahenga waliozaliwa zama za mawe mpaka mwishoni mwa miaka ya 90 Mke wa kaka yako, rafiki yako ndugu walikua wakiitwa shemeji, Pia Mume wa Dada yako,rafiki au ndugu walikua wakiitwa shemeji
Lakini ghafla kibao kimebadilika hiki kizazi cha Miaka ya 2000 kuja 2020's kimekuja na utambulisho mpya, ambapo sasa kuna msamiati unaitwa "Shemdarlin"
sasa tupate tofauti ya shemdarlin na shemeji