Tofauti ya Simba SC na Yanga SC, Makocha pamoja na Mashabiki wao katika kupokea matokeo Uwanjani

Kiongozi lazima uwe honest.

Inakopita Yanga sasa hivi, ndiko ilikopitia Simba wakati Manji akiwika Yanga. Hilo unalijua kabisa.

Umesahau malalamiko ya Haji hadi kuweka Video clips kwa wandishi wa habari?
 
Simba na Yanga wote wanatia aibu, timu zina miaka zaidi ya 80 HAZINA UWANJA, eti uwanja wa TAIFA wanapokezana kila msimu kuwa uwanja wa nyumbani hizi timu HOVYO KABISA
Mbona Inter Milan na AC Milan hawana viwanja na ni za muda mrefu
 
Mtani hii yote ni kutaka kufukia lile kaburi la Kagera Sukari. Lol.

Siku zote Simba na Yanga mambo yao ni Kama watoto wa baba mmoja na mama mmoja yaani huwaga hakuna tofauti.

Mfano hai ni mwaka ambao yanga alikuwa na viporo nyie nyie Mikia mlilalama weee ila kwa kuwa sasa kwa mnavyo nyie mnaona ni sawa kabisaa.
 
Kamanda anasahau haraka. Wakati tukitesa na Manji, wao ulalamishi hadi FIFA. Yanga tuna uwezo wa kupokea matokeo Kuliko wao.
 
Nimekuita kwa kusudi hapa ubaoni[emoji23][emoji23]

Kwahivyo mtani kwa kuwa mwaka jana nililalamika je kuna haja ya wewe kuniiga?
 
Ni kweli wanatufunga hata mbele ya rais. Lakini hatuwatuhumu TFF

Kufungwa Yanga na Mtibwa TFF amehusika veep? Swali hilo Mtani
Kwa hii kauli Mtani ama kweli Kagera sio watu wazuri.
 
Nimekuita kwa kusudi hapa ubaoni[emoji23][emoji23]

Kwahivyo mtani kwa kuwa mwaka jana nililalamika je kuna haja ya wewe kuniiga?
😀😀 Siku zote tuna ugonjwa mmoja Mtani hivyo usishangae. Huwa hauponi bali unatulia tu.
 
Ni kweli wanatufunga hata mbele ya rais. Lakini hatuwatuhumu TFF

Kufungwa Yanga na Mtibwa TFF amehusika veep? Swali hilo Mtani
Najua utajifanya hujui nini kilitokea Mtani.

Salama lakini huko?
 
Kiongozi lazima uwe honest.

Inakopita Yanga sasa hivi, ndiko ilikopitia Simba wakati Manji akiwika Yanga. Hilo unalijua kabisa.

Umesahau malalamiko ya Haji hadi kuweka Video clips kwa wandishi wa habari?
Ni kweli! Upepo umebadili mwelekeo tu
 
Tathmini yako hii tutaithibitisha siku Simba akifungwa na Alliance, Biashara, Mbeya City, Prisons na mechi ya marudiano na Azam
 
Mimi ni yanga damu lakini hakuna kocha zwazwa kama wa yanga.. Nannajua club inamvumila kwasababu ya ukata tu..!!

Kama wewe ni Yanga kweli utakuwa upande wa yule mzee A.......au inawezekana wewe ni 'komandoo' au 'muuza jezi' za Yanga...
 
Ni kweli wanatufunga hata mbele ya rais. Lakini hatuwatuhumu TFF

Kufungwa Yanga na Mtibwa TFF amehusika veep? Swali hilo Mtani
Hivi wale waliowatuhumu tff mpaka wakaenda Fifa ni kina nani vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…