Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Swali zuriHili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Nahitaji wataalam wanisaidie please. Kwa sasa nina Smart Tv hii ipo Sebuleni...
Kwnye kununua hapo zingatia ukubwa wa chumba na ukubwa wa tv...Ili kuepusha athari kwenye machoHili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Nahitaji wataalam wanisaidie please. Kwa sasa nina Smart Tv hii ipo Sebuleni.
Nahitaji kununua Tv nyingine kwa ajili ya Chumbani. Angalau nipate 60" plus. But the question is je ninunue tena Smart Tv au sasa ninunue Android TV.
Je ipi ni bora katika hizo na kwa sababu zipi? Nashukuruni. Wahenga walisema wewe ukijua ya Nyuma wenzako wanajua ya mbele.
Nimecheka sanaRaia wa jf bhana eti inch 60 plus kwaajili ya chumban sa sebulen umeweka inch ngp? Humu kila mtu anazo, ana gari nk ukute uyu jamaa hana mbele wa nyuma amepata kahela ka kununulia tv ya arboder au sundar 32 inch analeta sfa humu.
😅😅😅Raia wa jf bhana eti inch 60 plus kwaajili ya chumban sa sebulen umeweka inch ngp? Humu kila mtu anazo, ana gari nk ukute uyu jamaa hana mbele wa nyuma amepata kahela ka kununulia tv ya arboder au sundar 32 inch analeta sfa humu.
smart tv ni tv janja zenye uwezo wa kuongeza features kama apps na peripheral nyengine, kuna operating system nyingi za smart tv kama vile android tv, tizen, web os, roku, fire tv, etc.Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Nahitaji wataalam wanisaidie please. Kwa sasa nina Smart Tv hii ipo Sebuleni.
Nahitaji kununua Tv nyingine kwa ajili ya Chumbani. Angalau nipate 60" plus. But the question is je ninunue tena Smart Tv au sasa ninunue Android TV.
Je ipi ni bora katika hizo na kwa sababu zipi? Nashukuruni. Wahenga walisema wewe ukijua ya Nyuma wenzako wanajua ya mbele.
Smart TV ni jina la jumla, Android TV ni aina moja ya Smart TV yenye operating system ya Android/Google (Gari vs Toyota) .Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Nahitaji wataalam wanisaidie please. Kwa sasa nina Smart Tv hii ipo Sebuleni.
Nahitaji kununua Tv nyingine kwa ajili ya Chumbani. Angalau nipate 60" plus. But the question is je ninunue tena Smart Tv au sasa ninunue Android TV.
Je ipi ni bora katika hizo na kwa sababu zipi? Nashukuruni. Wahenga walisema wewe ukijua ya Nyuma wenzako wanajua ya mbele.
huwa nawachora tu matajiri wa jfRaia wa jf bhana eti inch 60 plus kwaajili ya chumban sa sebulen umeweka inch ngp? Humu kila mtu anazo, ana gari nk ukute uyu jamaa hana mbele wa nyuma amepata kahela ka kununulia tv ya arboder au sundar 32 inch analeta sfa humu.
Raia wa jf bhana eti inch 60 plus kwaajili ya chumban sa sebulen umeweka inch ngp? Humu kila mtu anazo, ana gari nk ukute uyu jamaa hana mbele wa nyuma amepata kahela ka kununulia tv ya arboder au sundar 32 inch analeta sfa humu.
Sijaona kosa lake kwa kueleza kile anachoamini au kupendaRaia wa jf bhana eti inch 60 plus kwaajili ya chumban sa sebulen umeweka inch ngp? Humu kila mtu anazo, ana gari nk ukute uyu jamaa hana mbele wa nyuma amepata kahela ka kununulia tv ya arboder au sundar 32 inch analeta sfa humu.
Smart Tv mwenzie internet, tena sio capped bundles, inataka unlimited internet yenye speed ya kutosha ku stream 4k videos.Smart TV ni jina la jumla, Android TV ni aina moja ya Smart TV yenye operating system ya Android/Google (Gari vs Toyota) .
Cha muhimu ujiulize ni feature gani za hiyo TV unazihitaji na zitakufaa wewe, wengine wanang'ang'ania smart tv wakati hata internet hawana.
Inategemea na ukubwa wa chumbaDaaadeq nchi 60+ chumbani,hicho ni chumba au ukumbi wa mikutano