njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Maisha yanaenda kasi sana ,nikikumbuka enzi hizo ukitaka kununua tv lazima uifikirie Hitachi kama chaguo la kwanza alafu Toshiba siku hizi mchina konyo ukitaka hata inch 50 ya elfu sabini unapata ukafie nalo mbele hukoRaia wa jf bhana eti inch 60 plus kwaajili ya chumban sa sebulen umeweka inch ngp? Humu kila mtu anazo, ana gari nk ukute uyu jamaa hana mbele wa nyuma amepata kahela ka kununulia tv ya arboder au sundar 32 inch analeta sfa humu.