Tofauti ya Smart Tv na Android TV ni ipi?

Tofauti ya Smart Tv na Android TV ni ipi?

Raia wa jf bhana eti inch 60 plus kwaajili ya chumban sa sebulen umeweka inch ngp? Humu kila mtu anazo, ana gari nk ukute uyu jamaa hana mbele wa nyuma amepata kahela ka kununulia tv ya arboder au sundar 32 inch analeta sfa humu.
Maisha yanaenda kasi sana ,nikikumbuka enzi hizo ukitaka kununua tv lazima uifikirie Hitachi kama chaguo la kwanza alafu Toshiba siku hizi mchina konyo ukitaka hata inch 50 ya elfu sabini unapata ukafie nalo mbele huko
 
Raia wa jf bhana eti inch 60 plus kwaajili ya chumban sa sebulen umeweka inch ngp? Humu kila mtu anazo, ana gari nk ukute uyu jamaa hana mbele wa nyuma amepata kahela ka kununulia tv ya arboder au sundar 32 inch analeta sfa humu.
Yaan ushamba mzigo et litivii la 60” uweke chumbani si ata macho yatapofuka jmn chumbani 43 ama 32” kwisha kazi
 
TV ili iitwe smart TV lazima iwe na internet connection na operating system, na android ni operating system inamilikiwa na google
 
smart tv ni tv janja zenye uwezo wa kuongeza features kama apps na peripheral nyengine, kuna operating system nyingi za smart tv kama vile android tv, tizen, web os, roku, fire tv, etc.

kama unalipia apps zako kama dstv, netflix, amazon prime basi os yoyote ile ni sawa tu angalia features nyengine, ila kama unatumia apps za kuchakachua basi android tv ina make sense zaidi.
So hapo unashauri tununue ipi? Smart au android? Na je android ina netflix? He inaweza kutumia internet? Me umeniacha mbali aisee sijaelewa
 
So hapo unashauri tununue ipi? Smart au android? Na je android ina netflix? He inaweza kutumia internet? Me umeniacha mbali aisee sijaelewa
Kwa kifupi Android tv pia ni smart, smart tv ni jina la jumla linalojumuisha tv zote janja, Android tv ni smart tv, Tizen ni smart tv, Web os ni smart tv, Vidaa ni smart tv etc.

Ndio tv ya Android ina Netflix na zinaingia internet
 
Shukrani

Back
Top Bottom