Tofauti ya Sunni na Sh’ia ni ipi hasa?

Ndio maana.... Ukatoliki ni baba wa Uislam
Umepotoshwa na aliyekujibu swali lako.....

Ukatoliki hauwezi kuwa baba wa UISLAM.....


ANGALIA misingi ya kila kimoja utaelewa ikiwa unataka kujifunza.....

Basi hata NGUZO za UISLAM, NGUZO za Imani na NGUZO za ihsan angalau ukijua hivyo utajua misingi ya UISLAM na utajua TOFAUTI yake na imani zingine....
 
Sasa wewe badala ya kumsaidia Muulizaji inampotosha....

Anataka kujua TOFAUTI kati ya pande hizi mbili....

Hayo mengine unayatoa wapi?
Hakuna tofauti. Nilisema shia ilianzishwa baada ya kuawa mkwe wa muhamad ukweli uongo? Pia narudia kuwa zote ni mali za waarabu zinazotegemea hadithi na masimulizi ya kiarabu kupata uhalali. Nadhani hii inakutosha
 

Hujataja tofauti Mkuu.
Ulichofanya ni ushawishi
 
Acha kumfananisha Yesu na vitu vya ajabu Chief
 
Acha kumfananisha Yesu na vitu vya ajabu Chief
Yesu na mm hatuna utafauti wowote wa kibinaadam
Alikuwa anakula na kwenda haja kama mm
Alikuwa anahisi maumivu na hasira kama binaadam wengine
Yeye si lolote wala si chochote zaid ya unabii kwa watu wa israil tu na si Mungu wa mwana wa mungu....
 
Yesu na mm hatuna utafauti wowote wa kibinaadam
Alikuwa anakula na kwenda haja kama mm
Alikuwa anahisi maumivu na hasira kama binaadam wengine
Yeye si lolote wala si chochote zaid ya unabii kwa watu wa israil tu na si Mungu wa mwana wa mungu....
Acha kumfananisha Yesu na Nabii bandia chief
 
Kama PROTESTANTS/ANGLICAN (Anglatère) walivyojichomoa kuupinga utaratibu na mambo ya ROMAN CATHOLICS. Baadaye protestants wakajitokeza LUTHERAN mwasisi akiwa Martin Lutherking (tafakari jina), kuna ORTHODOX (base iko Ussr/Urusi) Wakaendeleza mtifuano na tofauti hadi sasa madhehebu hayaeleweki idadi:
1.....
2.....
3.....
4.....
5.....
6.....
7.....
8.....
9.....
10.….
11.….

Orodha yaweza kuzidi hapo, ila kikubwa nilichokibaliana na wote Islamic&Christian

-Mungu ni mmoja licha ya majina kwa vinasaba vya lugha
-dini zote hazitaji Mungu wa upande wao alikuwa dhebu lipi
-tawasifu za mitume wao zinafanana
-majina kama Nabii Issa/Yesu
-mama wa Issa/Yesu wamekubaliana aliitwa Mariyam/Mariam
-adui wetu ni mmoja Sheikh Twain/shetani
-wote wanahubiri upendo,kusamehe,toba
-wanaamini katika mauti, ufufuo na hukumu
-wamekubaliana uwepo wa pepo na jehanamu

Mengine ni tofauti za kibinadamu kwa maslahi ya kibinadamu
 
Ali alipenda madaraka tu, kwa alimuoa tu mjukuu wa mtume.
 
Nakubaliana nawe. Ongeza kuwa ni baba, mama na Mungu wa uislam. Huoni hawa wakumbafu wa mihadhara wanahubiri Yesu na biblia badala ya mtume wao na kurani. Wamelaaniwa akina Mazinge na matapeli wenzake
Kumbe ni vitabu kama novel tu, MASHINDANO KAMA YA MAGARI TU.
 

https://www.alhidaaya.com/sw/node/121
 
na kwa wasomi wengi wa KIISLAM [JAMUHURIL ULAMAAH] wanaliona kundi hili kuwa sii WAISLAM bali ni kama CULT
Wengi kutoka wapi?... Umekwenda mataifa ya Uajemi? kuona hili dhehebu nguvu yake.

UMEELEZEA VYEMA LAKINI ULIBAKI 'ndani ya boksi'
 
1. Baada ya kifo cha Muhammad, kulitokea ugomvi juu ya nani ambaye anapaswa kushika madaraka, upande mmoja ulitaka ndugu yake (binamu yake) auongoze umma wa waislamu, upande wa pili ulitaka Abubakar ambaye alikuwa swahiba wake mtume achukue madaraka.
Siyo sahihi,
NI BAADA YA KUFARIKI SAYYIDNA ALI BUN ABBI TALIB.

Kundi la kwanza kubwa likamtaka Muawwiyah aendeleze uongozi, wakidai pia mtume alisema utume na uongozi haurithiwi.

Na kundi la pili likataka mjukuu wa mtume aendeleze uongozi through bloodline hasa baada ya maswaaba w4 wakuu wa mtume kufariki wote.
 
Ugomvi wa kugombea madaraka baina ya Ali na Muawiyah ndiyo kilichozaa madhehebu hayo,ugomvi ulivyonoga huko vizazi vya mbele ndiyo tofauti za kiitikadi zikawa kubwa
Siyo Alliy ni mjukuu wa mtume
 
Naomba Nieleweshwe hapa. Hapa nchini, wengi wanafuata upande upi!?
 
Hapana, alioa mtoto wa mtume, fatma, lakini pia alikuwa ni binamu wa mtume.
Asante, kimfumo mtume alipenda kuwapa wajukuu mamlaka sasa yeye kwa shinikizo ya mkewe akataka madaraka.Na kwa kuwa alipaelewa pale vyema akaonelea aanzishe falsafa zake.Uchu wa uongozi sikui madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…