Tofauti ya Sunni na Sh’ia ni ipi hasa?

Walianzia sunni baada ya kuuawa kwa mkwe wa muhamad. Hata hivyo, sunni walianzia kwa ukatoliki uliowapatia biblia waliyokopi na kuandika kurani
Kama ni hivyo basi Shia wapo sawa,hata mimi nafikiria kwenda huko Shia.Sunni hawana hoja tupa kule.
 
Iraq wote ni waarabu lakini shia ni wengi kuliko sunni. Ila wanatofautiana na kujuana tu wanaposwali na majina yao ya ukoo Surname. Lakini Iraq Sunni ni wabaguz kwa shia wanadai bora wafanye urafiki na mkristo kuliko shia. Shia ni vigumu sana Iraq kukatiza mitaa ya Sunn.

Halafu Iran washia wengi wanawabagua sana wasunni. Hata kwenye mipaka ya Iran na ya airport wanawakagua sana waarabu kutoka madhehebu ya sunni na kwa kuwatambua ni kwa majina yao ya ukoo.

Halafu Shia wanauthamin sana mji wao Najaf ndio mji mtakatifu wa kiislam. Nawanamthamini sana Ima wao Ali (our beloved Imam).

Shia wanamchukia sana mke mdogo wa mtume Muhammad Aysha. Kamwe mwanamke wakishia haitwi Aysha.

Source waarabu marafiki zangu kutoka Iraq.
 
Ikawaje na Hussein ?

Ikawaje waislamu wakampa dola yote baada ya Alliy
Hussein ni mtoto wa aliy,hakupewa Dola yote Bali palikua na Dola ya aliy na Muawiyah,mtoto wa Muawiyah,yazid alikua kiongozi baadae kwenye Dola iliyokua ya babaake,shia wakimtaja vibaya Sana yazid kwamba alikua mzinzi na mlevi
 
Shia walianzia wapi?
Shia kama dhehebu lilianza kipindi cha Himaya ya Abbasid,,
Abass alikuwa mjomba wa mtume, so group la Abass baada ya kuuliwa Hassan, Husein na family ya mtume, wao walitirokea iraq, huko waliunga nguvu, na kuja kuuangusha utawala wa muawia,, so ufalme ukahama, damusca na makao makuu sasa yakawa irag,, chini ya Abbasid dynasty (Abbasid empire),
Hawa sasa walishikilia msimamo kuwa Ali ndio alitakiwa kuwa khalifa wa kwanza ila alifanyiwa fitna,, japo baadae alikuja kuwa khalifa,, lakini akauwa na pia watoto wake wakauliwa,
Shia wanaamini kuwa waislam wanahitaji figurehead, ambae ndo huyo imam,, tofauti na sunni wao hawanaga figure head,
Ndiposa unakuta shia kama ismailia wana figurehead Agha khan,
Iran wana ayotallah, irag wana mugtadar al sadr, japo sina uhakika huyu ni figure head, maana kuna ayotollah mmoja iraq atakua yuko juu ya al sadr
 
Hii story niliifuatilia, ilinitoa machozi, ngoja ntaiweka viziri kwenye uzi huu huu,
 
Hii story niliifuatilia, ilinitoa machozi, ngoja ntaiweka viziri kwenye uzi huu huu,
Nilivyokudokeza ndivyo hivyo,Ila kila upande una simulizi zake Kama kwenye hija ya kuaga ya mtume,Ali na Muawiyah walipigana,waislam wakauwana kiasi mmoja wao katikati ya mapigano baada ya kuona watu wanakufa Sana akachomeka Qur'an juu ya mkuki ndipo watu wakaacha kupigana na Ali na Muawiyah kila mmoja kuwa na ukhalifa wake..halafu watu wanakwambia mtu kabashuriwa Pepo akiwa duniani..Wana la kujibu,maana wao ndiyo waliouawa umma wa waislam mpaka leo
 
Ujue huyu muawia alikua gavana wa damusca, tu, ila alipouawa Ali,, akaja kushika madaraka,, lakini dini leo haimuhesabu yeye kama khalifa,, baya zaidi alipotaka kufa, akamrithisha mtoti wake, Yazid,, huyu ndo akaua Hassan na Husein wajukuu wa mtume kwani aliona wanatishia cheo chake, japo wale vijana hata ukhalifa hawakuutaka,
Huyu yazid, alikuwa mlevi, wanawake, etc eti nae akawa khalifa, no wonder dini iligoma kumuhesabu kama khalifa
 
Ndiyo maana nimekuambia umeegemea upande wa maelezo ya shia,ambao hawawakubaki Abu bakri,ummar,uthman na Muawiya Bali Ali tu...huyo mtoto wa Ali Hassan alomtambua Muawiya or so,yaani upande ule mwingine kuwa khalifa,akampa baia yaani recognition,hakukaa Sana akauawa na watu wa upande wake na Hussein akashika hatamu,Hussein akaebdeleza ugomvi na ndiye anayetukuzwa Sana na shia,busara ilikua baiana ya Ali na Muawiyah kukubali la mwenzake,Muawiya akitaka watafutwe wauaji wa uthman,Ali akitaka achaguliww khalifa kwanza,Muawiya hakuwa na shida na ukhalifa
 
Mie nilivyoekewa, hii story inahusu, struggle for power kabla hata ya uzao wa mtume,
Hawa muawia ndio walikuwa machifu pale maka,
Baba yake mtume, Abdallah hakuwa na cheo chochote, kwanza baba yake alitaka kumtoa kafala kama abraham, alivyotaka kumtoa kafara Ismail,
Babake mtume alifarika mapema, tu, na pia mamake mtume,,
Mohamed akabaki yatima na hana mtu wa kumlea, akatoa anko wake, ambae ndio babake Ali,, akamchukua mtume na kumlea,, huyu anko wake alikuea ni msimamizi wa al kaaba, upande wa watu waliokuwa wakija kuhiji hapo, hakua na mali, lakini alimchukua mtume na kuishi nae, hivyo practically mtume na Ali wanekuwa pamoja under one roof,
Wakati mtume anaanza utume,, wale ukoo wa muaawia kina abu sufian, ndo walikuwa viongozi hapo maka, waliona mtume kaja kuwavurugia mambo, ndo kisa cha kuanza kumpiga vita, waliona wao ukoo wa muawia, wanaondolea madaraka na wana wa Hashimu,
Na hata mtume alupowashinda, chuki zilibaki, pamoja na mtume kuwapa vyeo, alupokufa mtume tu, ndo wakaamuwa sasa iwe isiwe wanashika madaraka,,
Hiyo ndo ilikua genesis ya mgogoro wote,.
Muawia hawakuwa tayari kuona mtu wa ukoo wa hashim, twna mtoto yatima eti awapandie juu
 
Context si ya kweli,hapo unamaanisha hata mtume alitunga dini ili apate power,shia wanadai akina Abu sufiyani walisilimu ili wasalimike...hii ni kuandaa mazingira ya kuwashutumu akina Muawiya,watu ambao walikua pamoja na mtume wakipiga a Vita dhidi ya Hilo tabaka tawala
 
Alimkhini?
Kumkhini maana yake ni nini?

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Utaahira WA kiwango cha sgr
 
Yesu na mm hatuna utafauti wowote wa kibinaadam
Alikuwa anakula na kwenda haja kama mm
Alikuwa anahisi maumivu na hasira kama binaadam wengine
Yeye si lolote wala si chochote zaid ya unabii kwa watu wa israil tu na si Mungu wa mwana wa mungu....
Haya bweha WA tarangile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…