Tofauti ya Sunni na Sh’ia ni ipi hasa?

Tofauti ya Sunni na Sh’ia ni ipi hasa?

Hiki ulicho copy na kupaste hapa kutoka google nakifahamu sana... Ni zilezile hoja za kuunga unga.

Pili, hakijamtaja Rebeca, kinazungumza kuhusu Sarah...
Sasa Nenda Google kacopy uje upaste hapa kinachomhusu Rebeca.

Halafu, Narudia kukuuliza tena swali ambalo unalikwepa mara ya 3 hii [emoji116]

"Isaac was 37-years-old when he went up on Mount Moriah with his father. Rebecca was born straight after Isaac and Abraham...."

[emoji115]
Hiki ulichoandika hapa kinatoka sehemu gani kwenye Biblia?
Genesis 23 1-2
and Abraham went to mourn for Sarah and to weep over her.

Unaweza kutuambia alikua wapi Ibrahim wakati mkewe amefariki

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Narudia tena [emoji116]

"Isaac was 37-years-old when he went up on Mount Moriah with his father. Rebecca was born straight after Isaac and Abraham...."

[emoji115]
HIKI ULICHOANDIKA HAPO, KINATOKA SEHEMU GANI KWENYE BIBLIA?

Nipe Aya/Fungu/Mstari kutoka kwenye Biblia linalosema hicho ulichoandika hapo.
Is it true in the Bible that Isaac married Rebecca at 3 years old?


Answer

7
Follow


Request


Details


More
Ad by Jira Software, Atlassian

Get started with Jira Software for free.
One central source of truth for your whole dev team.
Sign Up

All related (62)
Recommended



Profile photo for David Tay


David Tay
·
Follow
Studied at The University of Newcastle (Australia)2y
This is the biblical account; the context is that Abraham tasked his servant to look for a wife for Isaac among his relatives. Here the servant has arrived in Abraham’s home-country but the place is foreign to him and he doesn’t know anyone. He then prays for help to find the right woman:
“May it be that when I say to a young woman, ‘Please let down your jar that I may have a drink,’ and she says, ‘Drink, and I’ll water your camels too’—let her be the one you have chosen for your servant Isaac. By this I will know that you have shown kindness to my master.”
Before he had finished praying, Rebekah came out with her jar on her shoulder. She was the daughter of Bethuel son of Milkah, who was the wife of Abraham’s brother Nahor. The woman was very beautiful, a virgin; no man had ever slept with her. She went down to the spring, filled her jar and came up again.The servant hurried to meet her and said, “Please give me a little water from your jar.”
“Drink, my lord,” she said, and quickly lowered the jar to her hands and gave him a drink.” Genesis 24:14–18
Even if you are an unbeliever, or have never read the Bible, or know nothing about Christianity - it is self-explanatory from the text that Rebekah couldn’t have been 3 years old.
  • a 3 year old toddler can babble, she had a conversation with the servant
  • a 3 year old toddler just learnt to walk, she was walking and carrying a jar
Her age is not mentioned, but why mention something so trivial? It just says she is a virgin who is of marriageable age. So whoever came up with such an incredibly absurd theory that Rebekah was married at 3 years old, is desperate to prove something.
a quick search on google shows this theory being proposed by an Islamic apologetic website:
Was Rebekah 3-10 Years Old When Married Off To Isaac?
According to Islamic sources, Muhammad married 6 year old Aisha when he was about 50 years old. Theories like this are just desperate attempts to defend the morally repugnant actions of Muhammad.
Even though the theory is nonsense, for clarity sake let just de-bunk it and lay it to rest. This is from the website:
1. Sarah gave birth to Isaac at the age of ninety (Genesis 17).
2. Isaac was in his thirties when the incident of Mount Moriah occurred with his father, Abraham (Genesis 22).
3. Immediately after Isaac and Abraham’s incident on Mount Moriah, Rebecca is born (Genesis 22).
4. As soon as Rebecca’s birth is mentioned in Genesis 22, few verses down (next chapter), we read that Sarah died at the age of 127 years old (Genesis 23:1-3).
5. At the time of Sarah’s death, Isaac would be have been 37-years-old.
6. Isaac married Rebecca at the age of 40 (Genesis 25:20), this would show from the Bible that Rebecca was only three years old, given that she was only born three years prior, just after the Mount Moriah incident and the death of Sarah.
 
Kuna matukio ya story ya isaack na abraham ni kama copy na paste, mfano, abraham alikwenda kwa mfalme wa wafilist , Abumalik(Abimelek),akadanganya sara ni dada yake, Abu malik akamtongoza sara na kumpeleka geto lake,, usiku mungu akamshitua kuwa huyo siyo dada wa abraham, bali ni mke wake,
Tukio hilohilo, limerudiwa kwa isaack, alikwenda kwa kingi Abu malik na kudanganya Rebeka ni dada yake kumbe siyo,
Wote Abraham na isaack walijipatia mali kwa hilo fumanizi la mtego,,
Wote pia waliweka accord ya amani na Abimelek(copy& paste)
Kwa hiyo bibilia imetunga kisa cha Ibrahim?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo bibilia imetunga kisa cha Ibrahim?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna vitu vimeongezwa, nikimkataa kabisa abraham, ina maana dini tatu kubwa zinapoteza, umaana, 😂😂,nachojua abraham alipofika caanan, alianza kuabudu dini ya wenyeji wa caanan,, Huyo mungu mkuu, alie juu akiitwa El,
Abraham aliikuwa introduced kumuabudi El na kiongozi wa mji wa Saleam, alieitwa, Melkizedeki(mfalme mtukufu),ambaye kiuhalisia siyo jina bali ni title,,
Lakini history inakataa kumtambua Abraham🙆🏻‍♀️😕
 
Genesis 23 1-2
and Abraham went to mourn for Sarah and to weep over her.

Unaweza kutuambia alikua wapi Ibrahim wakati mkewe amefariki

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jifunze kujibu swali unaloulizwa.

Narudia kwa mara ya 4:

"Isaac was 37-years-old when he went up on Mount Moriah with his father. Rebecca was born straight after Isaac and Abraham...."

[emoji115]
Hiki ulichoandika hapa kinatoka sehemu gani kwenye Biblia?
 
Jifunze kujibu swali unaloulizwa.

Narudia kwa mara ya 4:

"Isaac was 37-years-old when he went up on Mount Moriah with his father. Rebecca was born straight after Isaac and Abraham...."

[emoji115]
Hiki ulichoandika hapa kinatoka sehemu gani kwenye Biblia?
Kama utaendelea kutaka commentary zake nyingine sema!

Torah commentary by Jonathan Ben Uziel (1st Century BCE):

“Sarah was informed by Satan that Abraham had killed Isaac, ‘And Sarah arose and cried out, and was strangled, and died from agony.”

(Genesis – Exodus), volume 1, page 229)

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mamake yesu aliolewa na mzee joseph akiwa na miaka 9,,
Yesu waliishi kinyumba na mary magdalena huko galilaya,, lakini pia yesu alikuwa na mahusiano na Lazaro, mdogo wake mary na martha wa huko galilaya province
Za kijiweni hizi
 
Utofauti ni kwenye ahadi ya Allah peponi.
Sunni waaamini watapewa wanawake mabikira 72 lakini Shia wanaami watapata bikira 30 kwa kila mwanaume. Utofauti ni bikira 42.
Simple mathematics! 72-30=42. Umetisha mkuu
 
Back
Top Bottom