Ni nini sasa kijiwe au?Kwani simba nayo ni timu?
AbsolutelyYanga wamebeba kombe ligi kuu mara 3 mfululizo, hawana presha wanaweza kupost hata katuni
Yanga imejaa misukule tu hakuna watu.wenye ubongo huko. Dunia nzima huwezinl kuta page ya timu imejaa maujinganujinga. Kama ya nyuma mwikoAmani iwe nanyi
Huku Simba wakipost vitu vya msingi yanga wao wamekazania uchawa na kupiga picha ambazo hazina picha wala miguu
Mimi yanga lakin huu wanaofanya yanga ni ushamba na ujinga