T The Wing JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 1,333 Reaction score 2,065 Mar 20, 2025 #21 Timu imekusanya watu inachangia wagonjwa bado unawaita wajinga. Tuwe na akili basi angalau kidogo. Sidhani hata Ahmed Ally anaweza kubeza hizo picha za Yanga. Hii Nchi uhuru umezidi.
Timu imekusanya watu inachangia wagonjwa bado unawaita wajinga. Tuwe na akili basi angalau kidogo. Sidhani hata Ahmed Ally anaweza kubeza hizo picha za Yanga. Hii Nchi uhuru umezidi.
MrsPablo1 JF-Expert Member Joined Jun 9, 2013 Posts 1,240 Reaction score 2,340 Mar 20, 2025 #22 stow away said: Duuuh MrsPablo1 Click to expand... Boss aheshimiwe
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,899 Reaction score 73,370 Mar 20, 2025 #23 Yani page ya club unataka tuposti daku na futari mara makanzu......kweli hamnazo...
bestboy Senior Member Joined Oct 18, 2012 Posts 195 Reaction score 199 Mar 22, 2025 #24 Ukiangalia kwa haraka haraka unaweza kudhani ni page ya wauza kanzu
N nguvu Platinum Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,747 Reaction score 24,661 Mar 22, 2025 #25 round kick said: Yanga wamebeba kombe ligi kuu mara 3 mfululizo, hawana presha wanaweza kupost hata katuni Click to expand... Simba alibeba mara4 na hakuwa chawa
round kick said: Yanga wamebeba kombe ligi kuu mara 3 mfululizo, hawana presha wanaweza kupost hata katuni Click to expand... Simba alibeba mara4 na hakuwa chawa
The useful idiot JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 1,066 Reaction score 2,739 Mar 22, 2025 #26 Yanga bingwa!