Tofauti ya unywaji wa pombe na ulevi

Tofauti ya unywaji wa pombe na ulevi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Pombe ni kinywaji kinacho burudisha na kumfanya mnywaji kupumzisha akili baada ya kazi ngumu.

1635609007475.jpeg

Beer/Bia ni kinywaji kinachotafsiriwa kama a social drink. Mara nyingi hunywewa kwenye public house au pub. Inategemea ukubwa wa kijiji lakini kila kijiji huwa na pub ambapo wanaume hukutana baada ya kazi. Wanawake waliachwa nyumbani na watoto.

Mara nyingi beer ilihusishwa na mpira, mpaka sasa hivi wenye ving’amuzi hununua beer na kuita marafiki kuangalia mpira nyumbani.

Wanaume wakienda pub mara nyingi hunywa beer mbili na kuondoka kuwahi kupumzika nyumbani. Mwanaume akinywa beer sita pub kila siku anahatarisha uchumi na afya yake.



1635609725063.jpeg

Cognac

Husaidia digestion, baada ya kula chakula kizito, hasa nyama, shot moja ya cognac inasaidia kuamsha uzalisho wa enzymes kama pepsin zinazosaidia usagaji wa protein.

Waelewa huweka chupa ya brandy au cognac wanapokaribisha wageni kwa chakula nyumbani. Wale wanaokata chupa ya Hennessy club ile sis tarehe ni mateso.



1635610846437.jpeg

Wine ni kinywaji kinacho pendwa zaidi duniani. 40% ya wenye miaka 20+ duniani wanajihesabu kama wanywaji wa wine, hii ni namba kubwa sana.

Wine huongeza hamu ya chakula, glass moja ya wine katika mlo inatosha. Wanyaji wengi humaliza chupa.
 
Sipendi beer naonaga chungu Ila wine bwana wee acha kabisa [emoji39]
 
bia ni bonge la rafiki .bia ni mtu mbaya kwenye maamuzi.
 
Beer sita?
I used to drink in four different bars before I get home. Nikiendesha gari mwenyewe.
The lowest number per day was six beers or two bars never less.
Thanks God, I have read the writing on the wall.
 
Nasikiaga Ile sengerema lait inayo hiyo oestrogen kwa sana. (I have never tasted it)
 
Back
Top Bottom