Uhuru naona umezidi sana, na siku zote uhuru ukizidi sana Adabu hupungua, naona viongozi wengi sasa hivi wanajitutumua kila mtu anajionyesha yeye ndio yeye wakati kipindi cha Magufuli hawakua hivyo. Sijui ndio wanaita freedom of speech ila Naona hii freedom itatupeleka pabaya sana kama nchi.
Magufuli alikua ni kiongozi imara sana na mwenye mamlaka kama kiongozi, akisema kitu unaona kabisa raisi kasema, ila kama yetu Naona watu wanampanda sana kichwani, kila mtu anajifanya mjuaji, kila mtu anajifanya msemaji wa raisi.
Sina uhakika na hii nchi inapoelekea, Mungu azidi kutuongoza kwa kweli. Ki ukweli hii nchi ilifaa mtu mahiri na mwenye misimamo mikali kama Magufuli, mtu asiyeyumbishwa hovyo na misimamo yake.
Yaani mtu anyekuja na bla bla za Magufuli kuwa Kiongozi huwa simuelewi. Magufuli awe kiongozi kweli au maana ya Kiongozi imebadilishwa siku hizi?Uhuru naona umezidi sana, na siku zote uhuru ukizidi sana Adabu hupungua, naona viongozi wengi sasa hivi wanajitutumua kila mtu anajionyesha yeye ndio yeye wakati kipindi cha Magufuli hawakua hivyo. Sijui ndio wanaita freedom of speech ila Naona hii freedom itatupeleka pabaya sana kama nchi.
Magufuli alikua ni kiongozi imara sana na mwenye mamlaka kama kiongozi, akisema kitu unaona kabisa raisi kasema, ila kama yetu Naona watu wanampanda sana kichwani, kila mtu anajifanya mjuaji, kila mtu anajifanya msemaji wa raisi.
Sina uhakika na hii nchi inapoelekea, Mungu azidi kutuongoza kwa kweli. Ki ukweli hii nchi ilifaa mtu mahiri na mwenye misimamo mikali kama Magufuli, mtu asiyeyumbishwa hovyo na misimamo yake.
Kichwa cha habari Ni tofauti ya utawala, so tofauti ya uongozi.Yaani mtu anyekuja na bla bla za Magufuli kuwa Kiongozi huwa simuelewi. Magufuli awe kiongozi kweli au maana ya Kiongozi imebadilishwa siku hizi?
MTAWALA, MTAWALA, MKANDAMIZAJI.
Uhuru naona umezidi sana, na siku zote uhuru ukizidi sana Adabu hupungua, naona viongozi wengi sasa hivi wanajitutumua kila mtu anajionyesha yeye ndio yeye wakati kipindi cha Magufuli hawakua hivyo. Sijui ndio wanaita freedom of speech ila Naona hii freedom itatupeleka pabaya sana kama nchi.
Magufuli alikua ni kiongozi imara sana na mwenye mamlaka kama kiongozi, akisema kitu unaona kabisa raisi kasema, ila kama yetu Naona watu wanampanda sana kichwani, kila mtu anajifanya mjuaji, kila mtu anajifanya msemaji wa raisi.
Sina uhakika na hii nchi inapoelekea, Mungu azidi kutuongoza kwa kweli. Ki ukweli hii nchi ilifaa mtu mahiri na mwenye misimamo mikali kama Magufuli, mtu asiyeyumbishwa hovyo na misimamo yake.
Magufuli hakuwa kiongozi, alikuwa mtawala. Kuhusu Kila mtu kuwa msemaji basi wengi walikuwa kipindi cha magufuli. Kuna mbunge aliwahi kusema Rais atoke chato kwani yeye ni nesi? Hapo hawajamsemea rais? Au Kama kawaida ule ugonjwa wenu unaendelea kuwatafuna?
Wacha awaachie ndiyo namna pekee atawajua na kuwasoma vizuri.
Maana ukiwafunga midomo wanakuwa nayo moyoni, wanazungumzia pembeni, wakija kuachiwa ndiyo wanalipuka kama wanavyolipuka.
Sasa waachiwee tu!
Atamjua nani mnafiki nani rafiki nani mstaarabu nani mtata.
Pia awaache wapambane wenyewe kwa wenyewe yeye watampa gap.
Everyday is Saturday............................... [emoji41]