kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Utasikia 'rea kuna utapeli mwingi ukome mara moja. Kazi hazikamiliki vifaa vinaibiwa. Kampuni hizo zisipewe tena kazi' 😂😂. Usanii mtupu akisema hivyo ndio imetoka.
Wananchi wanahitaji mawaziri wenye uchungu wanachukua hatua. Kwanza kutolea maelezo kinagaubanga mapungufu na hatua za papo kwa papo. Waziri gani maneno tu na ahadi hewa. Hawezi tumbua mtu maana mwenyewe ni mpiga dili.