Tofauti ya wasanii wa Bongo na wa Nigeria

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Nyota wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke (Davido) akiongoza sehemu ya maandamano ya vijana nchini humo kutaka kufutwa kwa Kikosi Maalumu cha Polisi cha Kupambana na Uhalifu (SARS), kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu hasa dhidi ya vijana katika utendaji wake.

43999496-6FCB-4955-A6FB-14D4AAD29E78.jpeg
DB5AE36F-23D8-46A2-98AD-2AE6CDD0399A.jpeg
14C651DE-4766-4814-A2CC-25DC48487FDE.jpeg
3D395DE6-436F-4FB4-9BEC-17A36F9A3856.jpeg
 
Kwa unavyojua Davido kasoma mpaka level gani?

Wasanii wetu wanaotumbuiza pale juu ni wangapi wanafikia level yake ya elimu?

Nigeria imeiacha Tz kielimu kwa ukubwa gani? Idadi ya vyuo, shule, mitaala practicable, easy access to education n.k.
 
Davido anatoka familia ya kitajiri na pia ni zao la upinzani. Kama sio baba yake basi ba mkubwa wake ana cheo cha maana tu upinzani nchini humo. Hivyo ana backup ya maana.

Bongo hakuna msanii anayetoka familia ya kitajiri yenye chembe chembe za siasa so hawana backup ya maana. Sugu aliimba wee mwisho wa siku kaenda kupatana na Ruge.
 
Bongo hakuna msanii anayetoka familia ya kitajiri yenye chembe chembe za siasa so hawana backup ya maana. Sugu aliimba wee mwisho wa siku kaenda k
Davido anatoka familia ya kitajiri na pia ni zao la upinzani. Kama sio baba yake basi ba mkubwa wake ana cheo cha maana tu upinzani nchini humo. Hivyo ana backup ya maana.

Bongo hakuna msanii anayetoka familia ya kitajiri yenye chembe chembe za siasa so hawana backup ya maana. Sugu aliimba wee mwisho wa siku kaenda kupatana na Ruge.
Fuatilia haya maandamano ya Nigeria

kabla hamjakurupuka muwe mnatafiti kwanza.

davido hata kuimba haimbii njaa anaimbia passion tu.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Chukueni muda kidogo hata dk 2 haziishi kujiongeza kwa kila habari inayoletwa humu. Kifupi Davido hapo kawakilisha wasanii wa Nigeria, si yeye tu ambaye alikuwa muhamasishaji wa maandamano baina ya wanamuziki maarufu.
 
Picha na habari zimemuonyesha na kumtaja zaidi davido zaidi mkuu. Na haina haja ya kujiongeza,tumeonyeshwa davido zaidi Huyu jamaa mbeleni atagombea uongozi kupitia upinzani hapo anakusanya kijiji ujue
Chukueni muda kidogo hata dk 2 haziishi kujiongeza kwa kila habari inayoletwa humu. Kifupi Davido hapo kawakilisha wasanii wa Nigeria, si yeye tu ambaye alikuwa muhamasishaji wa maandamano baina ya wanamuziki maarufu.
 
Chukueni muda kidogo hata dk 2 haziishi kujiongeza kwa kila habari inayoletwa humu. Kifupi Davido hapo kawakilisha wasanii wa Nigeria, si yeye tu ambaye alikuwa muhamasishaji wa maandamano baina ya wanamuziki maarufu.
sasa wasanii wa bongo wanaangalia maisha yao sio yako wewe,kama huwezi hata kununua wimbo mmoja kwenye platform mbali mbali huwezi kuwapangia namna gani watafute namna ya kuishi.

ccm wanawapa pesa,wewe unawapa nini wakukalie mbele hapo kwenye maandamano???

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamziki na msanii wa mziki.
 
sasa wasanii wa bongo wanaangalia maisha yao sio yako wewe,kama huwezi hata kununua wimbo mmoja kwenye platform mbali mbali huwezi kuwapangia namna gani watafute namna ya kuishi.

ccm wanawapa pesa,wewe unawapa nini wakukalie mbele hapo kwenye maandamano???

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hahaha, umaskini wako wa kutoweza kununua wimbo usitake kujipa moyo kwa kudhani kila mmoja ana umaskini wa kiwango chako! Na hiyo niliyo-underline ndiyo inaonesha size ya akili yako. Mkuu unatumia ubongo wango kwa kiwango cha chini sana, kumradhi kama nimekukwaza lakini tunasaidiana tu, hope hutomind!
 
Back
Top Bottom