Davido anatoka familia ya kitajiri na pia ni zao la upinzani. Kama sio baba yake basi ba mkubwa wake ana cheo cha maana tu upinzani nchini humo. Hivyo ana backup ya maana.
Bongo hakuna msanii anayetoka familia ya kitajiri yenye chembe chembe za siasa so hawana backup ya maana. Sugu aliimba wee mwisho wa siku kaenda k
Fuatilia haya maandamano ya NigeriaDavido anatoka familia ya kitajiri na pia ni zao la upinzani. Kama sio baba yake basi ba mkubwa wake ana cheo cha maana tu upinzani nchini humo. Hivyo ana backup ya maana.
Bongo hakuna msanii anayetoka familia ya kitajiri yenye chembe chembe za siasa so hawana backup ya maana. Sugu aliimba wee mwisho wa siku kaenda kupatana na Ruge.
Chukueni muda kidogo hata dk 2 haziishi kujiongeza kwa kila habari inayoletwa humu. Kifupi Davido hapo kawakilisha wasanii wa Nigeria, si yeye tu ambaye alikuwa muhamasishaji wa maandamano baina ya wanamuziki maarufu.kabla hamjakurupuka muwe mnatafiti kwanza.
davido hata kuimba haimbii njaa anaimbia passion tu.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Chukueni muda kidogo hata dk 2 haziishi kujiongeza kwa kila habari inayoletwa humu. Kifupi Davido hapo kawakilisha wasanii wa Nigeria, si yeye tu ambaye alikuwa muhamasishaji wa maandamano baina ya wanamuziki maarufu.
sasa wasanii wa bongo wanaangalia maisha yao sio yako wewe,kama huwezi hata kununua wimbo mmoja kwenye platform mbali mbali huwezi kuwapangia namna gani watafute namna ya kuishi.Chukueni muda kidogo hata dk 2 haziishi kujiongeza kwa kila habari inayoletwa humu. Kifupi Davido hapo kawakilisha wasanii wa Nigeria, si yeye tu ambaye alikuwa muhamasishaji wa maandamano baina ya wanamuziki maarufu.
hajui huyu naye ndio wale wale bendera.Picha na habari zimemuonyesha na kumtaja zaidi davido zaidi mkuu. Na haina haja ya kujiongeza,teonyeshwa davido zaidi Huyu jamaa mbeleni atagombea uongozi kupitia upinzani hapo anakusanya kijiji ujue
Picha na habari zimemuonyesha na kumtaja zaidi davido zaidi mkuu. Na haina haja ya kujiongeza,tumeonyeshwa davido zaidi Huyu jamaa mbeleni atagombea uongozi kupitia upinzani hapo anakusanya kijiji ujue
Hatimaye waandamanaji Nigeria wafanikiwa kuivunja SARS
Hahaha, umaskini wako wa kutoweza kununua wimbo usitake kujipa moyo kwa kudhani kila mmoja ana umaskini wa kiwango chako! Na hiyo niliyo-underline ndiyo inaonesha size ya akili yako. Mkuu unatumia ubongo wango kwa kiwango cha chini sana, kumradhi kama nimekukwaza lakini tunasaidiana tu, hope hutomind!sasa wasanii wa bongo wanaangalia maisha yao sio yako wewe,kama huwezi hata kununua wimbo mmoja kwenye platform mbali mbali huwezi kuwapangia namna gani watafute namna ya kuishi.
ccm wanawapa pesa,wewe unawapa nini wakukalie mbele hapo kwenye maandamano???
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app