Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,833
- 27,753
Ukiishi nchi za wenzetu, hakuna mafensi makuubwa ya nyumba labda kama ni nje ya mji. ila hapa kwetu na south, mtu anajenga nyumba na fensi ambayo hadi uingie unapata shida. mara aweke waya za umeme, filimbi za sauti kali ambazo ukipiga mtaa mzima watashtuka kujua kuna hatari kwako iandae na ilale kwenye mto wako, chochote kuzuia majambazi tulikuwa tunajilinda zamani.
Kwa sasa, hasa Tanzania, nashauri ukijenga nyumba, wenye miundombinu yote kwa ajili ya kujilinda, kama upo uwezo wa cctv system weka, mbwa wakali weka bora ugarimie chakula hata cha garama, kama walinzi wa mshahara mkubwa tu tena wa silaha za moto weka, kama unaweza kujenga nyumba ya handaki jenga kama myahudi tu.
WHY? watekaji au watu wasiojulikana wamekuwa hatari kwenye jamii zaidi ya majambazi wa kutumia silaha. hawa wanaweza kuvunja milango, kuruka ukuta na kufanya yote, kama miundombinu hiyo haujaiweka sawa, watakuchukua na hakuna atakayejua umechukuliwa. watanzania wanaona bora wavamiwe na jambazi la kutumia silaha kuliko wasiojulikana, jambazi atachukua hela, atabaka ila utakuwa salama, ila wasiojulikana wanakufunga pingu kwanza kabla ya kukuua kwa sababu usipofungwa pingu unaweza kuwashinda.
Hali hii itaisha lini? Tumlilie Mungu atukomboe na hii hali.