Toka amenitolea posa amebadilika sana

Umefika mbali sana, anyways ni mawazo yako pia.
 
Mmmhh!
 
Ukiwa unaweka Thread zako ziwe zinashabiiana...WEWE NI DUME
 
Posa na Mahali ni kitu kimoja?
Mahali❌
Mahari✅

Posa ni barua au utangulizi/ kujitambulisha unaopelekwa upande wa mwanamke au mwanaume kuonesha nia ya kutaka kuoa/kuolewa na kummiliki mwanamke/mwanaume

Mahari ni pesa au mali inayopelekwa upande wa mwanaume au mwanamke kama shukrani ya kumilikishwa mke au mume.
NB: Mahari hairudishwi
 
Asante sana kijana. Elimu haina kikomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…