Toka amenitolea posa amebadilika sana

Toka amenitolea posa amebadilika sana

Nakuombea kila la kheri

Ila usijione sana bali mjali na wewe

Ila huduma zote hizo ni kwa sababu anaona bora awekeze kwako wewe mtarajiwa

Ole wako uchepuke na amegharamia kumbuka mkaa gunia 2

Sasa ukiona umependa kwingine omba talaka kuliko share na wengine

Yeye akichepuka mwambie oa tu uhudumie kote sawa
 
Sawa.
 
Back
Top Bottom