MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Umeharibu tayari hapa wabongo ndio tunapokwama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna ndio mchumba, walikutana 3 weeks back, na sahivi ndo kapekeka posa..... Tuandae sare tu.Yule ni mume wake😂 huyu mchumba
Kumbe kuna wanaume wanatoa mahari harakaharaka hivyo😂Hamna ndio mchumba, walikutana 3 weeks back, na sahivi ndo kapekeka posa..... Tuandae sare tu.
Sawa.Nakuombea kila la kheri
Ila usijione sana bali mjali na wewe
Ila huduma zote hizo ni kwa sababu anaona bora awekeze kwako wewe mtarajiwa
Ole wako uchepuke na amegharamia kumbuka mkaa gunia 2
Sasa ukiona umependa kwingine omba talaka kuliko share na wengine
Yeye akichepuka mwambie oa tu uhudumie kote sawa
Jitahidi Luca akatoe mwezi huu kampeni zikianza ataishiwa.....Kumbe kuna wanaume wanatoa mahari harakaharaka hivyo😂
Tupo mkuu...😜Kumbe kuna wanaume wanatoa mahari harakaharaka hivyo😂
👍Ni kwa mujibu WA serikali ya kichwa chako.