Toka amenitolea posa amebadilika sana


Sawa hongera.ila usimsimulie mtu anayekujua (Rafiki yako wa kike) atavunja huo uchumba chap.Watu wengi hawapendi wengine wapendane.Endelea kumuomba Mungu awavushe salama ktk kipindi hiki cha mpito na pia uendelee kujitunza.Kumbuka tuu kwamba uchumba siyo ndoa.
 
Sawa hongera.ila usimsimulie mtu anayekujua (Rafiki yako wa kike) atavunja huo uchumba chap.Watu wengi hawapendi wengine wapendane.Endelea kumuomba Mungu awavushe salama ktk kipindi hiki cha mpito na pia uendelee kujitunza
Naunga mkono hoja Shukrani.
 
Hata hapa wapo malaya wazandiki wanamuombea mabaya.
Hata hawajuani wanaulizana eti tumpe Christmas ngapi.
Nyie maraya endeleeni kuweka makopo yenu mtaani si tuyabutue.
Mwenzenu muacheni kaleft group lenu.
 
Mashangazi na nyie mnataka ndoa?
 
Hujambo? Nitumie namba yako inbox, kuna kitu hakipo sawa, nimedhamiria kukusaidia
 
Afadhali...
Team kataa ndoa leo wamepigwa na kitu kizitoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…