Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.
Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilivomuona yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.
Sasa toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi kila siku na leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana
Binafsi nafarijika sana na namuomba Mungu ndoa yetu ipite salama.
Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi
Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi🤔
Mbona unamtisha mapema hivyo angalia bibi harusi mtarajiwa asije pepea 😅Namwonea huruma kijana akijiingiza kufunga ndoa ,ila huwa tuna hudumia hata tusipo kuwa na malengo ya ndoa mkuu, kumtupia jogoo vijimahindi ili umchinje huwa ni jambo la kawaida mkuu.
Naunga mkono hoja Shukrani.Sawa hongera.ila usimsimulie mtu anayekujua (Rafiki yako wa kike) atavunja huo uchumba chap.Watu wengi hawapendi wengine wapendane.Endelea kumuomba Mungu awavushe salama ktk kipindi hiki cha mpito na pia uendelee kujitunza
Huyu hawezi Pepea ,ndio mara ya kwanza kulishwa bandani.Mbona unamtisha mapema hivyo angalia bibi harusi mtarajiwa asije pepea 😅
ngoja tuone🤭Huyu hawezi Pepea ,ndio mara ya kwanza kulishwa bandani.
njoo basi tuoane mtoto mzuriHivi ni yule anakujibu kama hvi fresh, poa, burudani tu, yeah, mwanangu, natimba hapo mda
Ndoa njema!Mungu awalinde
Hata hapa wapo malaya wazandiki wanamuombea mabaya.Sawa hongera.ila usimsimulie mtu anayekujua (Rafiki yako wa kike) atavunja huo uchumba chap.Watu wengi hawapendi wengine wapendane.Endelea kumuomba Mungu awavushe salama ktk kipindi hiki cha mpito na pia uendelee kujitunza.Kumbuka tuu kwamba uchumba siyo ndoa.
Wewe toa kinachohitajika ndio uone 😁😁Huo uchawi kama upo mwambie mzee wa kazi afanye kazi yake hata bila nywele ili tujue ni mwamba kwel😁😁
Itakuwa, chai nyingi haina sukariItakuwa container la form six....hivi bado hawajaenda jeshi enh
Mashangazi na nyie mnataka ndoa?Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.
Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilivomuona yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.
Sasa toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi kila siku na leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana
Binafsi nafarijika sana na namuomba Mungu ndoa yetu ipite salama.
Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi
Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi🤔
Hujambo? Nitumie namba yako inbox, kuna kitu hakipo sawa, nimedhamiria kukusaidiaHadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.
Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilivomuona yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.
Sasa toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi kila siku na leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana
Binafsi nafarijika sana na namuomba Mungu ndoa yetu ipite salama.
Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi
Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi🤔
Upendo wa mwanaume haupo kwenye kutoa pesa upo kwenye kujali so jua hiloI have no idea.
Natimba hapo mda uko pande zipi😁njoo basi tuoane mtoto mzuri
Afadhali...Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.
Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilivomuona yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.
Sasa toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi kila siku na leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana
Binafsi nafarijika sana na namuomba Mungu ndoa yetu ipite salama.
Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi
Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi🤔
njoo PM kwanzaNatimba hapo mda uko pande zinjpi😁