Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Haiko kwenye kundi kuu linalo tawala, usitegemee lolote kutoka kwake.Wakuu kwema?
Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?
Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?
Pawa Mabula?Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?
Naomba kuuliza;
Cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinapaswa kufanya "Maajabu yepi"
Kwani yeye ni pawa Mabula?
Ameingilia maandamano ya ChademaWakuu kwema?
Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?
Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?
😅Pawa Mabula?
🤣🤣 huyo jamaa alikula mia mbili mbili zangu nyingi sana miaka hiyo nikiwa Primary School kanda ya ziwa
Zaidi ya Maneno maneno tu na Misafara ya hapa na pale.Wakuu kwema?
Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?
Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?
Kawekwa pale kimkakati zaidi.Unajua Sukuma Gang hawana akili wakiona mtu kutoka kanda yao kapewa cheo kisichokuwepo kikatiba wanafurahi sana kama mtoto mdogo akipewa peremende.Wakuu kwema?
Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?
Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?
Au alishirikiana kuandamana kiainaAmeingilia maandamano ya Chadema
Mama kawauzia mbuzi kwenye gunia na yenyewe yakafurahiiiiKawekwa pale kimkakati zaidi.Unajua Sukuma Gang hawana akili wakiona mtu kutoka kanda yao kapewa cheo kisichokuwepo kikatiba wanafurahi sana kama mtoto mdogo akipewa peremende.
Amekuwa MC wa Ikulu na kuongeza gharama za uendeshajiWakuu kwema?
Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?
Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?
Ameongeza gharama kubwa snZaidi ya Maneno maneno tu na Misafara ya hapa na pale.
Usitarajie chochote.
Cheo chenyewe HAKIPO KIKATIBA pili hata MAJUKUMU ya Cheo hicho hata yeye mwenyewe HAYAJUIWakuu kwema?
Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?
Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?
Wewe unadhani alipewa hicho cheo kama sadaka bila wajibu? Kulikuwa na sababu gani kuanzisha hicho cheo na yeye kuteuliwa?Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?
Naomba kuuliza;
Cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinapaswa kufanya "Maajabu" yepi?
Kwani yeye ni pawa Mabula afanye maajabu akiwa kwenye hicho cheo?
Wakuu kwema?