butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Kwani Majaliwa kufanya maajabu gani zaidi ya sinema zake kwenye media,akionekana anafoka na kuagiza mafisadi wakamatwe alafu baada ya muda mambo yanakuwa kimya!!!Wakuu kwema?
Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?
Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?
Muacheni Dotto ale nchi ni wakati wake na yeye!