Toka Dotto Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?

Kwani ulitarajia Naibu waziri mkuu kufanya maajabu gani?
 
Binafsi naona kafanya maajabu makubwa sana ya kuwa na msafara mkubwa wa magari na mitutu ya bunduki, lakini pia kuongeza gharama za Serikali
 
Wenda mwanya... ujuwe kinamama huweza shawishika kumteua mtu Kwa vingi!
 
Alipita na msafara wake katikati ya umati wa waandamanaji.
 
Waafrika utendaji kazi huwa mnauona ni ukiherehere
Kwa hiyo yeyote atakaetaka kufanya kwa maslahi ya Umma anaambiwa tuliza ball walipita wangapi?
Ndio misemo yenu hata rafiki majizi wanamwambia aisee ohooo
Ila simsemi Doto bali ni wote wanafanya kazi kwa maadili lazima waonekana kimbelembele na majizi
 
Amefanya ziara nyingi sana, ameshiriki harambee nyingi sana makanisani, amekua mgeni rasmi sana makanisani na huku mitaani.

Dah, Mimi naweza kuwa Rais wa Tanzania kumi Kwa wakati mmoja.
 
Aliwanyang'anya tonge wasemaji wa TANESCO na TPDC. Hiyo ilikuwa ni siku chache tu baada ya kuukwaa u-NWM. Ni kazi kubwa alifanya.
 
Muda wake bado.....kura za kanda hiyo ni zake mama yule....
 
Bwawa limekamilika umeme unawaka.

Dotto ndio PM wa mama 2026-2030 so kuliko atumilie miaka 5 pekee ndio maana ameanza na Unaibu Waziri Mkuu
 
Hakuteuliwa ili afanye maajabu
 
Katiba yetu inasemaje kuhusu majukumu ya cheo alichopewa?
 
Anaandaliwa kuwa PM wako 2025 kama ulikuwa haujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…