Hii inaonesha zaidi kiwango ujinga wa watanzania ambacho ni ~98%.Mfano mzuri hapo uganda pamoja na kwamba museveni amekaa madarakani muda mrefu lakini uchaguzi huu ana asilimia approximation 78% japo kuwa na yeye ni janjajanja atleast kidogo sasa huyu wetu daah 98% kweli? Hahahaha
Hizo takwimu lzm dunia ishituke haiwezekani na haitowezekana kamwe tume ya ccm imeunda takwimu ambazo hazipo, ni aibu kubwa unashinda kwa asilimia 98% afu watu waliokuchagua waandamane how?