kwenye debate za sekondary hii inaitwa POINT OF PARALYSIS .Harmoniser alituhumiwa sana juu ya kumuiga kila kitu diamond kwa muda mrefu .atabaki kuwa diamond copy .Mtoa mada hebu chukua hizi, matatizo,atarudi,aiyola,sina,kwagwalu alafu linganisha hizi hapa uno,hainistui,na nyimbo zote za album ya harmonize ukitoa ile ya mama na mpaka kesho,kazipitie upya alafu urudi hapa na hii hoja yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyimbo za Harmo ni motochini kusema kweli.Mbona harmo mwenyewe hana mashairi ya kueleweka
sizisikii mitaani kabisaaaNyimbo na Harmo ni motochini kusema kweli.
Zinagusa hisia na kutuliza nafsi unapozisikiliza sio kama za Mondi makelele kibao kama mpiga debe
Za mondi hazina mvuto ndio maana hauzisikiisizisikii mitaani kabisaaa
Acha ujinga diamond ameimba kuhusu ukimwi,rushwa,uchawi,corona,umasikini,maendeleo ya nchi,kifo,happy birthday,madawa ya kulevya .....nk nk???Dah chuki ni kitu kibaya sana.
Hivi ukiwa na akili timamu unaanzaje kufikiri Diamond alitungiwa na Harmonize?
Tofauti ambayo wengi hamuijui katika muziki ni kwamba Diamond ameshaimba kila kitu, sasa hivi anagombana na kuto rudia ideas ambazo ameshaimba, hili ni tatizo linalowasumbua wanamuziki wengi waliotoa kazi nyingi.
Kingine Diamond ameshatoa kazi yenye level ya juu ni kawaida kwa mashabiki kulinganisha kazi yako ya level ya juu na kazi inayofuata. Hakuna mwanamuziki hata mmoja aliyewahi kumaintain hiyo status na hapa mashabiki watakuhukumu kwa mafanikio yako mwenyewe. Hata wanaoponda kazi za Harmonize ni kwa sababu wanamuhukumu kwa kazi zake za WCB na huenda asifikie tena level zile.
Kuna wakati tulipiga kelele Harmonize kucopy kila kitu kuimba, kutunga, mavazi na kila kitu, Leo mashabiki mmegeuza ufanano wao ni vile Diamond alitungiwa. Nani alianza kabla ya mwenzake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu. Kwa anayejua mziki ataelewa. Ila mashabiki maandazi .. Atajua labda ni chuki..Umeongea kitu kikujawa sana mkuu Tunaojua mziki tumekuelewa, Washabiki wa INAMA NIPACHIKE RUNGU hawawezi kukuelewa.
Huyo ni mondy was zamani sio huyu Mzee
Imebumaje boss..msaada kidogoChuki ni mbaya sana.. hivi unajua kama i miss you ulikuwepo hata kabla harmo hajaingia WCB??
Btw mimi binafsi naona Harmo ndio kashuka sana kiuandishi .. ukimfananisha harmo wa Atarudi (hii ni ngoma na nusu) na huyu wa uno sijui haujanikomoa utaona kuna tofauti kubwa sana..
Hata hii album yake kuna nyimbo mbii tu kaandika vizuri (mama na mpaka kesho) nyingine ni takataka kabisa ndio maana album imebuma.
Kumbe mashabiki ndo wanaopenda matusikwa hiyo ulitaka aimbe wasichotaka washabiki wake ?
Diva mbona una teseka kwa hela za wanaumeHuwezi kulinganisha na anachoimba Mondy , Mondy Mondy ikitokea msanii wake ametunga ngoma Kali ni lazima iwe yake na ufunge mdomo wako labda akikuheshimu kdgo atakushirikisha... Angalia ngoma kama "wenye wivu wajinyonge" lilikuwa ni wazo na ngoma ya Vany boy pia iyena iyena na nyingine nyingi. Nyimbo zote Mondy alizoshirikishwa kimataifa Yale mashairi ni utunzi wa Harmo akishirikiana na Vany boy ,Mondy ni kidogo sana. Cheki yope asilimia kubwa alipoimba Mondy ni uandishi wa Vanny haya mile kipande cha " tunanyapia nyapia" sikiliza vizuri ni sauti ya Vany boy na sio diamond. Ila wimbo ni enos b ft diamond
Kweli kabisa harmo mashuka kwa kila kitu album ya mond NYIMBO mbili ndo sipendi ila ya harmo napenda nyimbo TATU mpaka kesho,uno na kushotokulia tu zingine zote takataka utumbo mtupu...HARMO AMECHANGANYIKIWA KILA PROJECT INABUMA FROM KONDEGA G MAGAHAWA.ALBUM MBAYAMBOVUChuki ni mbaya sana.. hivi unajua kama i miss you ulikuwepo hata kabla harmo hajaingia WCB??
Btw mimi binafsi naona Harmo ndio kashuka sana kiuandishi .. ukimfananisha harmo wa Atarudi (hii ni ngoma na nusu) na huyu wa uno sijui haujanikomoa utaona kuna tofauti kubwa sana..
Hata hii album yake kuna nyimbo mbii tu kaandika vizuri (mama na mpaka kesho) nyingine ni takataka kabisa ndio maana album imebuma.
DOGO ILE MISUKULE YAKE IMEMPOTEZA YAAAN INAMVIMBISHA AVIMBE KAMA PULIZO KWENYE MIBA ETI AMZIDI MONDI...LUGE ALISHINDWA AWEZE MTOTO HARMO.....ARUD USAFINI AKATUBU MAISHA YAENDELEE EE...Nadhani atakuwa katumia miezi kama minne kuandika album wakati wenzake wanatumia hata miaka miwili..
Ndio maana nyimbo nyingi zinafanana kingereza kile cha "i gonna die for u". Atakua katunga ngoma zaidi ya 10 kwa muda mchache.
Kuna msitari harmo aliimba FICHA MBALI KITUMBUAUmeongea kitu kikujawa sana mkuu Tunaojua mziki tumekuelewa, Washabiki wa INAMA NIPACHIKE RUNGU hawawezi kukuelewa.