Dah chuki ni kitu kibaya sana.
Hivi ukiwa na akili timamu unaanzaje kufikiri Diamond alitungiwa na Harmonize?
Tofauti ambayo wengi hamuijui katika muziki ni kwamba Diamond ameshaimba kila kitu, sasa hivi anagombana na kuto rudia ideas ambazo ameshaimba, hili ni tatizo linalowasumbua wanamuziki wengi waliotoa kazi nyingi.
Kingine Diamond ameshatoa kazi yenye level ya juu ni kawaida kwa mashabiki kulinganisha kazi yako ya level ya juu na kazi inayofuata. Hakuna mwanamuziki hata mmoja aliyewahi kumaintain hiyo status na hapa mashabiki watakuhukumu kwa mafanikio yako mwenyewe. Hata wanaoponda kazi za Harmonize ni kwa sababu wanamuhukumu kwa kazi zake za WCB na huenda asifikie tena level zile.
Kuna wakati tulipiga kelele Harmonize kucopy kila kitu kuimba, kutunga, mavazi na kila kitu, Leo mashabiki mmegeuza ufanano wao ni vile Diamond alitungiwa. Nani alianza kabla ya mwenzake?
Sent using
Jamii Forums mobile app