Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Hilo linasaidia vipi mamilioni ya watu waliopo vijijini Kwa mfano. Na je una uhakika Hilo tu kitakufanya uamini kweli magufuli ni rais wa wanyonge.. Jukumu Hilo umeliona ni gumu Sana na ni muhimu Sana kutekelezwa??? Upo serious
... Let's be honest, yaani wewe unaona ni sawa kuwa na kiongozi ambaye amefanya udanganyifu kuhusu elimu yake? Huyu atakuwaje na moral authority Kukemea wenzake kama alivyosema mukulu??
 
BUNGE LIVE. BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.BUNGE LIVE.
 
... Let's be honest, yaani wewe unaona ni sawa kuwa na kiongozi ambaye amefanya udanganyifu kuhusu elimu yake? Huyu atakuwaje na moral authority Kukemea wenzake kama alivyosema mukulu??
Mkuu IROKOS huyu ndege JOHN nadhani amekaimu nafasi ya Pascal Mayalla kutetea ujinga tu mbele ya watu wanaojitambua, yaani hata mishipa ya aibu hawana hawa watu.
 
Kujiuzulu kwa kushindwa kuongoza nchi.

 

Post Yako imenisisimua and it's very true Mkulu yuko hivo....

Nikumbushe kidogo aseee alivyomdhalilisha Mke wa Rais mstaafu maana cjasikia hyo aseee




Lo
 
Hojaze zikibadilika kutoka watu kuwa issue kama kuendeleza kilimo.....
 
Kwanza kabisa, aliache jeshi la polisi lifanye kazi yake kwa mujibu wa sheria badala ya kutumika kisiasa. Yaani kulinda chama tawala na kuwanyanyasa upinzani.

Pili, aruhusu mikutano ya siasa kwani ipo kisheria na katiba inaruhusu

Tatu, aliache bunge liwe huru

Nne, aziache mahakama zifanye kazi yake pasipo kufuata maagizo kutoka juu

Tano, awakanye wateule wake waache kutoa matamko yasiyo na tija kwa raia. Mfano ni katazo la bodaboda kutifanya shughuri zake usiku. Badala yake aboreshe ulinzi hasa nyakati za usiku kwa kuhakikisha wazee wa matukio hawafanikiwi kufanya uharifu

Sita, anapoteua viongozi, asiteue kwa mapenzi binafsi. Bali ateue kwa vigezo ili mtu akikosea iwe rahisi kumuwajibisha

Saba, awe na lugha za hekima badala ya kuwa na kauri za command wakati watu wanaumia kweli

Nane, maamuzi yake yawe ya busara ili kila mtu aridhike japo hataweza kuwafurahisha wote kutokana na itikadi za kisiasa

Tisa na mwisho, watanzania tunataka freedom of speech ili akikosea tumwambie hapo sio sawa.

NOTE: mimi ni mtanzania wa kawaida wala sina chama. Nimeandika ninayoyaona hayako sawa kwa upeo wangu
 
"Ukielewa kwa nini baba yako alikuwa harudi na mkate kila siku. ..ujue umekuwa "
 
Amruhusu mzee Mbowe aendelee na biashara yake ya ngada tubwie, tulewe,tusizi sisi tusiomudu bia.
 
Alivunje bunge turudi kwenye uchaguzi mkuu ili turudie kuchagua bila kuangalia mihemko ya pushapu.
 
Watumishi wanamwangalia tu,watakachomfanyia na kumtolea ktk kila sekta hataamini.
 
Hilo linasaidia vipi mamilioni ya watu waliopo vijijini Kwa mfano. Na je una uhakika Hilo tu kitakufanya uamini kweli magufuli ni rais wa wanyonge.. Jukumu Hilo umeliona ni gumu Sana na ni muhimu Sana kutekelezwa??? Upo serious

Kwa ujumla yupo bagalashagala kiasi hafahamiki anasimamia lipi na kwa mtindo upi. Ni mtu aliyeweka itakadi za chama mbele na mihemko mpaka kuona wenye umuhimu nchi hii ni wanaccm. Kwake mtu aliye na mtazamo tofauti hana nafasi naye. Kwa maneno marahisi wanyonge kwake ni wale wanaojijinyekeza, kumuogopa na kujipendekeza. Anachohubiri mdomoni sio anachotekeleza na ni mtu aliyejaa ubinafasi, chuki na visasi. Hivyo anaweza kufanya lolote apendalo kwani ameonyesha kwa kuwa ana madaraka basi anaweza kufanya aonavyo yeye lakini sio kwa ajili ya kutumikia wanyonge kama anavyojinasibu mdomoni.
 
Angechimba canal kuanzia ziwa Tanganyika uunganike na bahari ya Hindi.

Kisha hapo katikati zichimbwe canal nyingine ziungane na hiyo ya mwanzo moja ielekee kuungana na ziwa Victoria na nyingine ziwa nyasa.

Hapo fursa zitakuwa nyingi kwa watanzania. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…