ww kinachokuuma n nn?Kuna wafanyakazi wa TANROADS wanakuwa na gari Hardbody Ya Tanroads nyeupe inasimama njia ya Msata - Bagamoyo mida ya usiku, wanakula rushwa kwa kila fuso za mizigo zinazopita njia ile.
Kwa siku wafanyakazi hao huenda nyumbani na sh3m.
Tuanze na jipu hilo kwanza maana huo mchezo ulikuwepo tangu yeye akiwa waziri wa ujenzi.
utaifakwanza
Peleka taarifa ikuluKuna watumishi wengi wa umma ambao tuhuma zao za kijinai zimesafishwa na mahakama na jamhuri imeridhika pasipo kukata rufaa lakini waajiri hawataki kuwapangia majukumu huku wakilipwa mishahara kila mwezi bila kufanya kazi kinyume kabisa na kauli mbiu ya mh Rais yahapa kazi tu.
Hizi naona ndoto za mchana maana usingizi umekua mbolea
tena ukiwa umeshiba ndondo,usingizi haukwepeki,lol
TCU VIPI LEO?Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO:
Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
WEBSITE YA TCU HAIPATIKANI ALAFU INA KAZI ZETU HAZIJATIMIA MAANA YAKE NNI?TCU VIPI LEO?