Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Mimi naanza na wewe.

Sijaupenda mwandiko wako make nimesoma huku nimekunja uso.
 
yeye mwenyewe ni wa hovyo zaidi ya wateule wake.
 
yeye hasikii, haambiwi chochote, wengine ameishawatolea kishika uchumba hawezi kuwatumbua
 
Wewe mwenyewe hujatoa ushahidi wa alichokutendea Tizeba! Na kwanini ulingoja aondolewe? Au wewe ndiyo ulimwambia Rais ampumnzishe?
 
Mh Rais nakupongeza sana kwa kazi nzuri waifanya kiukweli nakupongeza.
Ila mh Rais najuwa unamisimimamo mikali hasa linapokuja swala la wananchi wako kudhulumiwa au vitendo vya Rushwa na maonevu kwa wanyonge.
Mh Rais kiukweli huitaji jeshi lenye silaha kali za kivita ila unaitaji smart people wenye uzalendo na taifa lao.
Huitaji kuongea sana but ye need to silence this type of people na wasijuwe vile wapo silence na hili linawezekana kwa kuwekeza kwenye Tiss na specila military group.
Huitaji kutenguwa na kuweka mwingine unaitaji kuwa na system itawatenguwa na kamwe hawawezi rudi ktk uso wa siasa na kusema nin kiliwapata.
Mh Rais hawa watu ni cancer iliobadilika kuwa tambaza unapo ona una team ya mawaziri na wana tegeana jiulize nani anawa remote ndipo ukumbuke option 1.
Watu walizoea vibaya na wanamitandao mibaya ndio wanaitesa serikali. Naamini ukijuwa kila file la hawa watu unaweza tamani kunyonga wahujumu uchumi..
High IQ team itakusaidia sana kumaliza huu ujinga. Imetosha kiukweli..
Zama zimebadilika kama hawabadilik na wanafanya usanii je maendeleo ulio ahid wananchi yatafika lini?
 
Umenena, mi nashangaa sana, sisi watanzania tumezoea maisha ya kuunga unga na ukwepaji kodi. Hata kutenda kazi hakuna tunataka madeal kila wakati. Hii tabia ilijengeka kiasi watu wameona ni utamaduni wa kawaida. Viongozi na wafanya biashara wakubwa wanahujumu nchi. Hii ni kutokana na wafanya biashara wakubwa nao ni wababaishaji. Wakwepa kodi na kufanya magendo. Rais inabidi atumie mfumo muafaka kuhakikisha hii tabia inakoma. Watanzania ndo Taifa tunalo jidharau wenyewe na hata aibu hatuoni. Nimetembea nchi kadhaa Africa, Ulaya,America na Asia huwezi kuta wanajidharau. Hii ndo maana hata majirani zetu wanatudharau. Rais asiwaonee huruma wanao hujumu nchi. Nchi za Ulaya zimeendelea viongozi hawakuwa na mchezo ukionekana msaliti basi utakijua kifuatacho.Rais anapigania Taifa watu makelele anafanya kwa faida ya Taifa watu vidomo. Upinzani wetu si wa kimaendeleo umejaa majungu na fitina pia wivu tu. Nanukuu, Tena wivu wa kike by Samwel Sitta.
 
This time who is next? Ben 🔫
 
Acha kuanzisha uzi na kujijibu
 
Ni kweli haikuhitaj jeshi kumsilence azory, bensaa8, mvungi etc. Na ninaamin ww kama mmoja wa hao smart high IQ team kazi yenu ni nzur sana
 
Mitandao ya simu hususani Vodacom na Tigo aisee ni mafisadi hawa jamaa. Unakuta wanakutumia "umefanikiwa kujiunga games loung" , tgo utaskia "umefanikiwa kujiunga games". Yote haya yanafanyika wakati haujaomba kujiunga baada ya hapo ukiweka salio lazimauliwe Sh 150. Aisee this is ufisadi....Tcra iliangalie hili wananchi wanyonge tunatapeliwa mchana kweupe
 
Mhasibu/karani wa mahakama ya mwanzo sinza anaomba rushwa waziwazi kushughulikia mirathi! Keshawatapeli watu wengi kwenye mirathi! Ofisini haonekani amekuwa kama Nguchiro!
CC:Takukuru
CC: waziri wa sheria na katiba
CC:Jaji mkuu
CC: RC Dar
CC: DC Ubungo
 
Mhasibu/karani wa mahakama ya mwanzo sinza anaomba rushwa waziwazi kushughulikia mirathi! Keshawatapeli watu wengi kwenye mirathi! Ofisini haonekani amekuwa kama Nguchiro!
CC:Takukuru
CC: waziri wa sheria na katiba
CC:Jaji mkuu
CC: RC Dar
CC: DC Ubungo
 
Mhasibu/karani wa mahakama ya mwanzo sinza anaomba rushwa waziwazi kushughulikia mirathi! Keshawatapeli watu wengi kwenye mirathi! Ofisini haonekani amekuwa kama Nguchiro!
CC:Takukuru
CC: waziri wa sheria na katiba
CC:Jaji mkuu
CC: RC Dar
CC: DC Ubungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…